DuhAngesema lazima wawe na kitambi ungetetea pia kuwa kinawapa mwonekano mzuri, hahahahah fisiemu bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Waafrika tuna asili ya unene...aache ujinga. Mimi nilipokuwa chini ya miaka 30 nilikuwa nawacheka sana watu wenye vitambi...nilikuwa nawaita manyama uzembe.
Ila sasa kitambi changu karibia kinagusa chini, GYM zote nimemaliza hadi yale madawa ya Forever Living yanaitwa C9.
Kama hayajakukuta shukuru Mungu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh...acha unyanyapaa mkuu!Polisi na mjitambi wapi na wapi!
Kutwa kubugia manyama, masukari, majwisi na matakataka ya kila aina!
Michemsho, mapombe, rosti, nguruwe, soda, machips..... baada ya mwaka tumbo kama litufe! Ooohh nimerogwa sikuwa hivi!
Kuzaa huzai, unajaza tu nafasi duniani. Ulafi na kukosa nidhamu ya chakula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha sio kweli mkuu. Nakula mlo mmoja tu!Unakula sana mazagazaga mzee na kwa kitambi chako najua huwezi piga zaidi ya 2 kwa usiku mmoja.Pole boss.