joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
😂😂Polisi na wanajeshi wanakuwa na masaa ya mazoezi ya viungo kila wiki, haya yanahesabiwa katika masaa yao ya kazi. Kitambi ni ushahidi kuwa mmiliki alipokea pesa bila kufanya mazoezi ya viungo kwa mujibu wa mkataba.
Wanautoa kwa Jiwe!Amri ya ajabu! Sijui ujinga huu wanautoa wapi?
lakini mbona depo watu wanapigishwa tifu la kuondoa vitambi na kuwafanya wawe wepesi
Nataka kukula Kama plata
Angalia lengo sio grammatical utayasahisha mangapi.Maneno mengine mjue maana yake kabla hamjayatumia.View attachment 1457676
NitawezanaOkonkwo na kitambi utawezana
Kuna tofauti kubwa ya unene na kitambiKuna watu tangu utoto ni wanene, hii dhana ya kwamba ukiwa mnene, ni dalili ya uzembe ,au ni dalili ya kuwa na maradhi sijui imezukaje duniani humu.Kwa hakika binadamu kuna wanene,wafupi warefu na wembamba.Walimu pia wapo wenye vitambi je wao rushwa wanatoa wapi?.Kwahiyo kama kuna polisi mwembamba anakula rushwa yeye atabaki?
Mkuu umenichekesha Sana kinaweza ingilia vp utendaji mkuu...Sheria haipo,
Ila kusema ukweli kitambi sio kitu cha kulea, kikizidi kitaanza kuingilia utendaji kazi wako.
Hilo neno wala siyo 'grammatical error'. Hapo ulipolitumia linabadili kabisa maana ya sentensi yako.Angalia lengo sio grammatical utayasahisha mangapi