bwege nazi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 700
- 904
Jeshi kudharaulika kisa kuwaambia wenye vitambi wasikae site? Huoni kama kumkuta askari ana mtambi kama zigo la mwizi anaongoza magari hiyo ndio kulitia aibu jeshi! Kumbuka hawajafukuzwa kazi bali kasema kasema wasikae site. Askari na kitambi wapi na wapi? Kitambie mwenzie mwanasiasa.Hizi amri za wanasiasa ndio ufanya jeshi kudharaulika.