Waziri Simbachawene ana hoja ila simuamini

Waziri Simbachawene ana hoja ila simuamini

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Kuna clip nimekutana nayo kwenye social media ikimuonyesha Waziri Simbachawene akieleza "Mkakati" wa Serikali kuja na "USAWAZISHO" ili wafanyakazi waweze kuishi na wenza wao. Hoja zake ni chache ila ni nzito Sana kama ifuatavyo:

- Moja, kutenganisha familia kwa kigezo cha Ajira ni kinyume na haki za binadamu.

- Pili, kutenganisha familia kwa kigezo cha Ajira ni kichocheo cha magonjwa kama UKIMWI

- Tatu, kutenganisha familia kwa kigezo cha Ajira ni kujenga Jamii isiyo na maadili.

Kwahiyo anasema Serikali imekuja na "USAWAZISHO"! Sijui ni kitu gani kwa kweli na ametaka wenye uhitaji wawe na vyeti halisi vya ndoa ili wahamishiwe kwa wenza wao at least kwenye wilaya moja Kwa kuwa wote ni waajiriwa wa Serikali hio hio moja.

Mashaka yangu, hiki kitu kimezungumzwa kisiasa sana maana kwa sasa kwenye ule mfumo wa ESS ukijaza ukiomba wanakwambia hujanimiza miaka mitatu eneo husika!

Nashauri mfumo uboreshwe ili kuruhusu ujenzi wa familia bora na sio Watoto waliolelewa na Mzazi mmoja akiwa na mchepuko.

Mimi kama hadi June 2024 asipopata uhamisho anaacha KAZI. Siwezi kuharibu familia kwa kisingizio cha Ajira.

-
 
Kuna clip nimekutana nayo kwenye social media ikimuonyesha Waziri Simbachawene akieleza "mkakati" wa Serikali kuja na "USAWAZISHO" ili wafanyakazi waweze kuishi na wenza wao. Hoja zake ni chache ila ni nzito Sana kama ifuatavyo:
Moja, kutenganisha familia kwa kigezo cha Ajira ni kinyume na haki za binadamu.
Pili, kutenganisha familia kwa kigezo cha Ajira ni kichocheo cha magonjwa kama UKIMWI
TATU, kutenganisha familia kwa kigezo cha Ajira ni kujenga Jamii isiyo na maadili.

Kwahio anasema Serikali imekuja na "USAWAZISHO"! Sijui ni kitu Gani Kwa kweli na ametaka wenye uhitaji wawe na vyeti halisi vya ndoa ili wahamishiwe kwa wenza wao at least kwenye wilaya moja Kwa kuwa wote ni waajiriwa wa Serikali hio hio moja.

Mashaka yangu, hiki kitu kimezungumzwa kisiasa Sana maana kwa sasa kwenye ule mfumo wa ESS ukijaza ukiomba wanakwambia hujanimiza miaka mitatu eneo husika!

Nashauri mfumo uboreshwe ili kuruhusu ujenzi wa familia bora na sio Watoto waliolelewa na Mzazi mmoja akiwa na mchepuko.

Mimi kama Hadi June 2024 asipopata uhamisho anaacha KAZI. Siwezi kuharibu familia kwa kisingizio cha Ajira.
View attachment 2977164
Kwan mfumo ndo unasema haujatimiza miaka mitatu?
 
Back
Top Bottom