Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
“Lipo jambo moja lilisemwa na Mpina, ni jambo nzito na ukilichukulia kwa wepesiwepesi unaona amezungumza kitu chepesi lakini mpina amezungumza kitu kizito” na ni lazima tukijibu kama Serikali.
Waziri Simbachawene ametaja tuhuma za Luhaga Mpina kama ifuatavyo
Haiwezekani ukaacha kujibu kwasababu yeye ameshaipeleka kwenye Mitandao. ni nchi gani hiyo ambayo ina sifa kama hizi ikbaki stable kama ilivyo nchi yetu? nchi hiyo inaitwa Tanzania ambayo Demokrasia chini ya Uongozi wa Rais Samia iko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote. Simbachawene ameongeza kuwa vyombo vya habari viko huru, vyama vya siasa viko huru vinafanya kikutano vinavyotaka na kuandamana vinavyotaka, halafu wewe unasema nchi hii imevurugugika.
Anachojaribu kusema Mpina hapa ni kuwa nchi hii kuna a failed State, anataka kusema kuna a weak state, sasa a weak state ina sifa zake. Sasa moja ya sifa ya a weak state ni kuwa mipaka yake haidhibitiki. Sasa katika ukanda huu kuna nchi ambayo mipaka yake inadhibitika kama Tanzania? Nchi haichezewi.
Tusijidharau kiasi hicho, ni dhambi kujidharau, na kama mtu una mambo yako ni vyema ukayazungumza kwa namna nyingine lakini si kwa mambo ya kitaalam kama haya.
Nchi yetu inaheshimika, Rais wetu anaheshimika na ndiyo maana kila anapokwena duniani wanampa shahada ya udaktari, ni heshima wanampa zawadi zote za kubeba wanaona hazifai ndiyo maana wanaamua kumpa za kichwani.
This global appreciation to a woman president haiwezekani ikadharauliwa na sisi wenyewe ndani ya nchi, ni lazima tujenge tabia ya kujiamini, kuheshimiana. Huwezi ukaizungumzia a failed state halafu ukasema unamheshimu Rais anayeiongoza hiyo nchi, hii ni insubordination.
Nchi yetu katika changamoto kubwa duniani, COVID -19 imepiga dunia nzima, nchi inatekeleza miradi mikubwa sana. Kule Meatu kwa Mbunge Luhaga Mpina Serikali imepeleka maendeleo lukuki halafu anasema this is a failed state, hapa nadhani kuna ajenda.
“There's one issue raised by Mpina; it might seem trivial, but it's significant,” said Simbachawene. He further detailed Mpina's allegations as follows:
He suggests that what Mpina is implying is that Tanzania is a failed state. However, he challenges this notion by pointing out that the country's borders are secure, unlike other weak states. He stresses that it's sinful to belittle oneself and to speak ill of the country in such a manner.
He claims Tanzania is respected globally, and President Samia is held in high regard. This international recognition should not be undermined domestically. Speaking of a failed state while claiming to respect the president leading it amounts to insubordination.
Despite global challenges like COVID-19, Tanzania continues to implement major projects. Minister Simbachawene referenced developments in Meatu, initiated by MP Luhaga Mpina, as evidence of progress, questioning the motives behind Mpina's allegations.
However, the public has questioned this is response is not satisfactory and has not answered fully Mpina's claims.
Pia soma

- Mpina anasema Ilani na Utekelezaji wa Serikali haviendani.
- Mpina anasema kuna uvunjaji mkubwa wa Sheria bila hatua kuchukuliwa, yaani utawala ambao hauna sheria, No enforcement.
- Mpina anasema Watanzania wanauawa.
- Kuna wizi wa kutisha.
- No Separation of Powers.
- Teuzi za ajira bila ushindani.
- Kuna ufisadi wa kutisha na akitolea mfano wa miradi ya SGR, JNHHP.
- Deni la taifa halieleweki.
- Viongozi hawaheshimia.
Haiwezekani ukaacha kujibu kwasababu yeye ameshaipeleka kwenye Mitandao. ni nchi gani hiyo ambayo ina sifa kama hizi ikbaki stable kama ilivyo nchi yetu? nchi hiyo inaitwa Tanzania ambayo Demokrasia chini ya Uongozi wa Rais Samia iko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote. Simbachawene ameongeza kuwa vyombo vya habari viko huru, vyama vya siasa viko huru vinafanya kikutano vinavyotaka na kuandamana vinavyotaka, halafu wewe unasema nchi hii imevurugugika.
Anachojaribu kusema Mpina hapa ni kuwa nchi hii kuna a failed State, anataka kusema kuna a weak state, sasa a weak state ina sifa zake. Sasa moja ya sifa ya a weak state ni kuwa mipaka yake haidhibitiki. Sasa katika ukanda huu kuna nchi ambayo mipaka yake inadhibitika kama Tanzania? Nchi haichezewi.
Tusijidharau kiasi hicho, ni dhambi kujidharau, na kama mtu una mambo yako ni vyema ukayazungumza kwa namna nyingine lakini si kwa mambo ya kitaalam kama haya.
Nchi yetu inaheshimika, Rais wetu anaheshimika na ndiyo maana kila anapokwena duniani wanampa shahada ya udaktari, ni heshima wanampa zawadi zote za kubeba wanaona hazifai ndiyo maana wanaamua kumpa za kichwani.
This global appreciation to a woman president haiwezekani ikadharauliwa na sisi wenyewe ndani ya nchi, ni lazima tujenge tabia ya kujiamini, kuheshimiana. Huwezi ukaizungumzia a failed state halafu ukasema unamheshimu Rais anayeiongoza hiyo nchi, hii ni insubordination.
Nchi yetu katika changamoto kubwa duniani, COVID -19 imepiga dunia nzima, nchi inatekeleza miradi mikubwa sana. Kule Meatu kwa Mbunge Luhaga Mpina Serikali imepeleka maendeleo lukuki halafu anasema this is a failed state, hapa nadhani kuna ajenda.
=============================
Minister Simbachawene: Mpina might have an agenda. President Samia's leadership is at its best compared to any other leadership time.
“There's one issue raised by Mpina; it might seem trivial, but it's significant,” said Simbachawene. He further detailed Mpina's allegations as follows:
- Mpina claims the government's manifesto and implementation are misaligned.
- He alleges significant law violations without any actions taken, indicating a lawless administration.
- Mpina states that Tanzanians are being killed.
- There's rampant theft.
- No separation of powers.
- Employment appointments without competition.
- Severe corruption highlighted by projects like the SGR, JNHHP.
- The national debt is unclear.
- Leaders lack respect.
He suggests that what Mpina is implying is that Tanzania is a failed state. However, he challenges this notion by pointing out that the country's borders are secure, unlike other weak states. He stresses that it's sinful to belittle oneself and to speak ill of the country in such a manner.
He claims Tanzania is respected globally, and President Samia is held in high regard. This international recognition should not be undermined domestically. Speaking of a failed state while claiming to respect the president leading it amounts to insubordination.
Despite global challenges like COVID-19, Tanzania continues to implement major projects. Minister Simbachawene referenced developments in Meatu, initiated by MP Luhaga Mpina, as evidence of progress, questioning the motives behind Mpina's allegations.
However, the public has questioned this is response is not satisfactory and has not answered fully Mpina's claims.
Pia soma
- Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
- Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote
- Mpina ataka viongozi wa wizara, mashirika, mikoa na wilaya kupatikana kwa usahili!
- Luhaga Mpina: Teuzi na baadhi ya ajira kutolewa bila kuzingatia ushindani imefanya nchi ipate viongozi dhaifu