Mc Kaskas
Senior Member
- Dec 13, 2017
- 112
- 177
Hiyo kichwa maji haiwezi kujibu hapoUchunguzi wa Ben Saanane ulifanyika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo kichwa maji haiwezi kujibu hapoUchunguzi wa Ben Saanane ulifanyika?
Siamini kama Mpina hayajui haya.Kinachonisikitisha ni kuwa Mpina hana maisha marefu ya kisiasa na pengine hata ya kimwili na roho........
Huu ukimya wa CCM na namna wanavyojibu tuhuma zake ni wazi kuwa Wana buy time dhidi yake..... lakini mioyoni mwao wamedhamiria ubaya..........
Sote tunawajua CCM linapokuja suala la madaraka na utawala roho zao zinakuwaje.......
Mungu aepushe mbali
Nani anaweza kuthibitisha hiyo namba tano siyo tatizo kubwa la nchi yetu?....Waziri Simbachawene ametaja tuhuma za Luhaga Mpina kama ifuatavyo
- No Separation of Powers.
CCM ndo kichaka cha uhalifu wote nchini. wanawezaje kujibu?Mbona hakuna majibu??
Kiwango kipi.. hivi kuna mtumishi utamwambia atakuelewa? Kipindi kipi kinazidi ubora wa kile cha kikwete??“Lipo jambo moja lilisemwa na Mpina, ni jambo nzito na ukilichukulia kwa wepesiwepesi unaona amezungumza kitu chepesi lakini mpina amezungumza kitu kizito” na ni lazima tukijibu kama Serikali.
Waziri Simbachawene ametaja tuhuma za Luhaga Mpina kama ifuatavyo
View attachment 2969225
- Mpina anasema Ilani na Utekelezaji wa Serikali haviendani.
- Mpina anasema kuna uvunjaji mkubwa wa Sheria bila hatua kuchukuliwa, yaani utawala ambao hauna sheria, No enforcement.
- Mpina anasema Watanzania wanauawa.
- Kuna wizi wa kutisha.
- No Separation of Powers.
- Teuzi za ajira bila ushindani.
- Kuna ufisadi wa kutisha na akitolea mfano wa miradi ya SGR, JNHHP.
- Deni la taifa halieleweki.
- Viongozi hawaheshimia.
Haiwezekani ukaacha kujibu kwasababi yeye ameshaipeleka kwenye Mitandao. ni nchi gani hiyo ambayo ina sifa kama hizi ikbaki stable kama ilivyo nchi yetu? nchi hiyo inaitwa Tanzania ambayo Demokrasia chini ya Uongozi wa Rais Samia iko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote. Simbachawene ameongeza kuwa vyombo vya habari viko huru, vyama vya siasa viko huru vinafanya kikutano vinavyotaka na kuandamana vinavyotaka, halafu wewe unasema nchi hii imevurugugika.
Anachojaribu kusema Mpina hapa ni kuwa nchi hii kuna a failed State, anataka kusema kuna a weak state, sasa a weak state ina sifa zake. Sasa moja ya sifa ya a weak state ni kuwa mipaka yake haidhibitiki. Sasa katika ukanda huu kuna nchi ambayo mipaka yake inadhibitika kama Tanzania? Nchi haichezewi.
Tusijidharau kiasi hicho, ni dhambi kujidharau, na kama mtu una mambo yako ni vyema ukayazungumza kwa namna nyingine lakini si kwa mambo ya kitaalam kama haya.
Nchi yetu inaheshimika, Rais wetu anaheshimika na ndiyo maana kila anapokwena duniani wanampa shahada ya udaktari, ni heshima wanampa zawadi zote za kubeba wanaona hazifai ndiyo maana wanaamua kumpa za kichwani.
This global appreciation to a woman president haiwezekani ikadharauliwa na sisi wenyewe ndani ya nchi, ni lazima tujenge tabia ya kujiamini, kuheshimiana. Huwezi ukaizungumzia a failed state halafu ukasema unamheshimu Rais anayeiongoza hiyo nchi, hii ni insubordination.
Nchi yetu katika changamoto kubwa duniani, COVID -19 imepiga dunia nzima, nchi inatekeleza miradi mikubwa sana. Kule Meatu kwa Mbunge Luhaga Mpina Serikali imepeleka maendeleo lukuki halafu anasema this is a failed state, hapa nadhani kuna ajenda.
Pia soma
- Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
- Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote
- Mpina ataka viongozi wa wizara, mashirika, mikoa na wilaya kupatikana kwa usahili!
- Luhaga Mpina: Teuzi na baadhi ya ajira kutolewa bila kuzingatia ushindani imefanya nchi ipate viongozi dhaifu
Ajibiwe kwa hoja wala siyo kutoa kebehi au matusi.Mpina mimi namchukulia kuwa ni mtu mwenye roho ya kichawi.
Ni mtu ambae ameumizwa sana kuukosa uwaziri.
Kujua ubaya wa adui yako ni jambo la kwanza na kujilinda dhidi yake ni jambo la pili........Siamini kama Mpina hayajui haya.
Najuiliza tu kama jpm asingeamua kujenga hilo bwawa leo serikali ya huyu mama engekuwa na lipi la kumaliza mgao wa umeme au tungeingiza majenerata mengine kama yale ya Richmond.ccmu mmebakiwa na ukabila ndo mtaji wenu , hamuez jibu hoja za watu , Mambo aliyofanya Jpm hata ww unanufaika ila ukabila na ujinga unakusumbua , siku ukiviondoa hivyo ndo utahundua namna unafeli
Magufuli mwenyewe mwaka 2019 akiwa Mara na Luhaga Mpina alikiri kuwa amemchagua Luaga Mpina kuwa Waziri wa Uvuvi kwa vile ni kichaa kama yeye. Ukibisha nakuletea YouTube hapa“Lipo jambo moja lilisemwa na Mpina, ni jambo nzito na ukilichukulia kwa wepesiwepesi unaona amezungumza kitu chepesi lakini mpina amezungumza kitu kizito” na ni lazima tukijibu kama Serikali.
Waziri Simbachawene ametaja tuhuma za Luhaga Mpina kama ifuatavyo
View attachment 2969225
- Mpina anasema Ilani na Utekelezaji wa Serikali haviendani.
- Mpina anasema kuna uvunjaji mkubwa wa Sheria bila hatua kuchukuliwa, yaani utawala ambao hauna sheria, No enforcement.
- Mpina anasema Watanzania wanauawa.
- Kuna wizi wa kutisha.
- No Separation of Powers.
- Teuzi za ajira bila ushindani.
- Kuna ufisadi wa kutisha na akitolea mfano wa miradi ya SGR, JNHHP.
- Deni la taifa halieleweki.
- Viongozi hawaheshimia.
Haiwezekani ukaacha kujibu kwasababi yeye ameshaipeleka kwenye Mitandao. ni nchi gani hiyo ambayo ina sifa kama hizi ikbaki stable kama ilivyo nchi yetu? nchi hiyo inaitwa Tanzania ambayo Demokrasia chini ya Uongozi wa Rais Samia iko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote. Simbachawene ameongeza kuwa vyombo vya habari viko huru, vyama vya siasa viko huru vinafanya kikutano vinavyotaka na kuandamana vinavyotaka, halafu wewe unasema nchi hii imevurugugika.
Anachojaribu kusema Mpina hapa ni kuwa nchi hii kuna a failed State, anataka kusema kuna a weak state, sasa a weak state ina sifa zake. Sasa moja ya sifa ya a weak state ni kuwa mipaka yake haidhibitiki. Sasa katika ukanda huu kuna nchi ambayo mipaka yake inadhibitika kama Tanzania? Nchi haichezewi.
Tusijidharau kiasi hicho, ni dhambi kujidharau, na kama mtu una mambo yako ni vyema ukayazungumza kwa namna nyingine lakini si kwa mambo ya kitaalam kama haya.
Nchi yetu inaheshimika, Rais wetu anaheshimika na ndiyo maana kila anapokwena duniani wanampa shahada ya udaktari, ni heshima wanampa zawadi zote za kubeba wanaona hazifai ndiyo maana wanaamua kumpa za kichwani.
This global appreciation to a woman president haiwezekani ikadharauliwa na sisi wenyewe ndani ya nchi, ni lazima tujenge tabia ya kujiamini, kuheshimiana. Huwezi ukaizungumzia a failed state halafu ukasema unamheshimu Rais anayeiongoza hiyo nchi, hii ni insubordination.
Nchi yetu katika changamoto kubwa duniani, COVID -19 imepiga dunia nzima, nchi inatekeleza miradi mikubwa sana. Kule Meatu kwa Mbunge Luhaga Mpina Serikali imepeleka maendeleo lukuki halafu anasema this is a failed state, hapa nadhani kuna ajenda.
Pia soma
- Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
- Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote
- Mpina ataka viongozi wa wizara, mashirika, mikoa na wilaya kupatikana kwa usahili!
- Luhaga Mpina: Teuzi na baadhi ya ajira kutolewa bila kuzingatia ushindani imefanya nchi ipate viongozi dhaifu
Tunawafahamu lakini tusiombe wafike huko. Huwa hawataki ukweli, kwao ukweli ni mwiko.Kinachonisikitisha ni kuwa Mpina hana maisha marefu ya kisiasa na pengine hata ya kimwili na roho........
Huu ukimya wa CCM na namna wanavyojibu tuhuma zake ni wazi kuwa Wana buy time dhidi yake..... lakini mioyoni mwao wamedhamiria ubaya..........
Sote tunawajua CCM linapokuja suala la madaraka na utawala roho zao zinakuwaje.......
Mungu aepushe mbali
Muachage upumbavu basi,hiyo inahusiana nini na mada.Uchunguzi wa Ben Saanane ulifanyika?
Mnajamba jamba mkisikia Ben Saanane maana mnajua muosha huoshwa!Muachage upumbavu basi,hiyo inahusiana nini na mada.
Mfwate kwao shenzy kabisa.