Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Hii nchi mpenda haki na msema kweli ni adui wa taifa 😁 sababu ya unafiki na kujipendekeza kwa watawala kulikokithiri!Unataka kusema angekuwa waziri asingesema anayosema? Je anayosema ni ya uongo?Uwaziri ni miwani ya mbao au ni ear-plug?
Kesha itwa na kamati za maadili kuhojiwa na kuombwa ushahidi wa anayoyasema na alipeleka ushahidi na akaachwa huru, sio mgeni kwao, wanamfahamu kwamba sio mropokaji, ana kusanya data za yote anayoyasema kisha naongea, anafahamu ccm ni nini na watafanya nini hivyo uwa anajiandaa.
Sioni kwanini mtu kuusema ukweli aonekane ni mchawi, au ndio kusema "Sisi ukweli kwetu mwiko".