Waziri Simbachawene: Huenda Mpina ana ajenda. Uongozi wa Rais Samia uko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote

Waziri Simbachawene: Huenda Mpina ana ajenda. Uongozi wa Rais Samia uko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote

Unataka kusema angekuwa waziri asingesema anayosema? Je anayosema ni ya uongo?Uwaziri ni miwani ya mbao au ni ear-plug?

Kesha itwa na kamati za maadili kuhojiwa na kuombwa ushahidi wa anayoyasema na alipeleka ushahidi na akaachwa huru, sio mgeni kwao, wanamfahamu kwamba sio mropokaji, ana kusanya data za yote anayoyasema kisha naongea, anafahamu ccm ni nini na watafanya nini hivyo uwa anajiandaa.

Sioni kwanini mtu kuusema ukweli aonekane ni mchawi, au ndio kusema "Sisi ukweli kwetu mwiko".
Hii nchi mpenda haki na msema kweli ni adui wa taifa 😁 sababu ya unafiki na kujipendekeza kwa watawala kulikokithiri!
 
Huyu simbachamwene ni bogus tu eti hii nchi mipaka yake imedhibitiwa Na kwamba sio failed state
Hii nchi kama mipaka yake imedhibitiwa hawa wahebeshi wanaokatiza Kwenye hii nchi kiholela na kuelekea South Africa wanapenyapenyaje hawa tunaosikia wanakamatwa hawafiki 5% ya wanaokatiza kwenye ardhi ya Tanzania Bila tena unasikia wengine wanakamatwa mpakani tunduma wanataka kuingia nakonde.
Tanzania ni failed state kutokana Na failed leadership ya ccm.
CAG anatoa report kila.mwaka akieleza madudu yaliyofanyika ndani ya serikali hii Serikali iliyoshindwa inashindwa kuchukua hatu.
Ki ukweli Mimi binadsi Tanzania naichukulia kama failed States za Nicaragua hata Haiti
 
Kinachonisikitisha ni kuwa Mpina hana maisha marefu ya kisiasa na pengine hata ya kimwili na roho........

Huu ukimya wa CCM na namna wanavyojibu tuhuma zake ni wazi kuwa Wana buy time dhidi yake..... lakini mioyoni mwao wamedhamiria ubaya..........

Sote tunawajua CCM linapokuja suala la madaraka na utawala roho zao zinakuwaje.......

Mungu aepushe mbali
Mpina ni another version ya Lissu ilioko CCM. Yeye hujenga hoja zenye ujazo dhidi ya serikali ila serikali inachemka kujibu hizo hoja na nadhani style ya kumdhibiti haitatofautina sana na ya Lissu. Lets give a hand to the time.
 
Ni a heri asingejibu! Serikali ingempuuza Mpina kuliko kutoa majibu mepesi kwa baadhi ya hoja zake nzito ambazo hata wananchi wanazijua ni sahihi!
Ni nani asiyejua Ufisadi,ubadhirifu wa fedha za umma,rushwa,kutowajibika kwa watendaji,ukosefu wa ajira,kuongezeka deni la Taifa,nk bado vipo katika serikali yetu?
SImba ametoa majibu mepesi!!
 
Mpina ni another version ya Lissu ilioko CCM. Yeye hujenga hoja zenye ujazo dhidi ya serikali ila serikali inachemka kujibu hizo hoja na nadhani style ya kumdhibiti haitatofautina sana na ya Lissu. Lets give a hand to the time.
Hauko mbali na ukweli........

Mpina amegeuka kuwa mwiba kwenye serikali ya Samia......bahati mbaya waimba mapambio sio wazuri kwenye kujibu hoja bali kwenye kutisha na kuteka.....
 
Ni a heri asingejibu! Serikali ingempuuza Mpina kuliko kutoa majibu mepesi kwa baadhi ya hoja nzito za Mpina ambazo hata wananchi wanazijua ni sahihi!
Ni nani asiyejua Ufisadi,ubadhirifu wa fedha za umma,rushwa,kutowajibika kwa watendaji,ajira,deni la Taifa,nk bado vipo katika serikali yetu?
SImba ametoa majibu mepesi!!
Waimba mapambio hawana uwezo wa kujibu hoja zaidi ya kusifu na kuabudu........

Imagine hayo ni majibu ya waziri ambaye wizara yake inasimamia usalama wa raia na mali zao........

Anachokiongea Mpina kimedhihirika mioyoni mwao
 
Eeh anatafutiwa angle tu akijaa wanaishi nae.
Kamati ya roho imeona muda hautoshi kushughulika na Mpina Kwa sasa hivyo wanamngojea kwenye kura za maoni majimboni..........

Kushughulika na Mpina kwa namna yoyote sasa ni kosa kubwa kisiasa kwani kwenye uwanja wa hoja Mpina amejipanga vyema..........

Kwa lugha nyepesi Mpina amewavua nguo CCM na wao wameamua kuchutama........
 
Kamati ya roho imeona muda hautoshi kushughulika na Mpina Kwa sasa hivyo wanamngojea kwenye kura za maoni majimboni..........

Kushughulika na Mpina kwa namna yoyote sasa ni kosa kubwa kisiasa kwani kwenye uwanja wa hoja Mpina amejipanga vyema..........

Kwa lugha nyepesi Mpina amewavua nguo CCM na wao wameamua kuchutama........
Watamfyeka kwenye jimbo tu arudi kitaani😁
 
Watamfyeka kwenye jimbo tu arudi kitaani😁
Na yeye Mpina ameshalijua hilo na ndio anajitahidi kujikuza kisiasa ili kupata uungwaji mkono na wananchi kama mtaji wake kisiasa ili ikitokezea kama anavyofikiria iwe rahisi kubadili Gia angani.........

Kibaya ni kwamba CCM wameshamjua mbinu yake na ndio maana wameamua kukaa kimya ili kumuua kisiasa.....
 
Mimi niliona kama Simbachawene anasisitiza hoja za Mpina kwa kuzirudia kwa umakini ila baadae akajifanya kumpamba mama ili asionekane kama kamuunha mkono Mpina.

Ila kwa jicho la tatu Simbachawene kapigilia msumari hoja za mpina
Awamu hii watatafutana tumechoka sie ndio maana kampeni nyingi mara tunachapisha fomu moja tunaomba hoja za Mpina zijibiwe msitutoe kwenye reli
 
Mkuu kwani mtu mwenye pacemaker hawezi kuuwawa?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Anaweza lakini kuita kifo cha "utata" ndio nakataa. Bora wangesema pacemaker ilichezewa ila utata ingekua ajali, Figo kufeli na mambo tofauti na mfumo wa moyo. So hata kama aliuwawa walipitia kwenye tatizo la moyo hilo hilo.

Tatizo nchi zetu hizi usiri na unafiki, kipindi wapinzani wanapiga kelele alipo JPM haya haya CCM walikua wanasema wanazusha na kuleta taharuki. Ila kama tungeshikamana kipindi kile ndio mbivu na mbichi zingefahamika.

Sasa walibisha weee mpaka waliposikia amefariki ndio wanaanza kuhisi aliuwawa!! It's too little too late.
 
Kwamajibu haya basi kazi ya uwaziri ni rahisi sana.

Amejibu kama yupo kijiweni anapiga stori na wanywa kahawa.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
CDF Mabeyo kaonesha wazi kuwa kwenye vyombo vya usalama jambo la Rais kufa kienyeji halijakaa sawa!!
Hakuna popote Mabeyo alisema Rais kafa kienyeji, yeye aliongelea utata kwenye uapisho wa Rais wala hakua na shida na kifo cha JPM maana mpaka anakata roho yeye alikuwepo.
Maalim Seif naye alikuwa anatumia pacemaker?
Maalim Seif hao ACT si walisema wemyewe alikua na Covid 19? Kama angeuwawa unadhani wasingeitumia kama mtaji wa Kisiasa huko zanzibar? Ila wao tu walikiri alikua na Covid hawakuficha kitu.
Vipi kuhusu vifo vya ghafla vya watu wa karibu na Magufuli; Engineer Mfugale na John Kijazi!
Hap wote Covid 19 mbona iko wazi, na sio hao tu hata ofisini kwetu walikufa wengi sana muda ule mpaka Mama yangu mzazi naye alizidiwa akaponea ICU so it's not like kulikua hakuna Wimbi la Covid. Hata Odinga tu alilazwa kipindi hiko hiko so hakuna utata wowote.
anaye tumia pacemaker hawezi kuuwawa?
Auwawe kivipi wakati betri inaweza pata hitilafu muda wowote? Mfano mtu hana Figo anatumia mipira tu alafu useme kauwawa? Yaani mtu yupo terminally ill miaka 20 alafu akifa useme ni hujuma? Angalia tokea kampeni alikua amechoka sana hata kuna mikoa hakufanya kampeni. He was bound to decease na ni bahati mbaya sana, ila kama ulifuatilia kampeni ungejua kabisa hana muda mrefu
 
Back
Top Bottom