Noma kweli !Maana yake jeshi la polisi limeundwa na vilaza.
Siro na vijana wako mpo? Waziri kasema sifa ya kujiunga na jeshi la polisi lazima mtu awe kilaza.
Polisi wana vyuo vyao!Amekosea sana....kwa hiyo jeshi la polisi ni kwa ajili ya watu wenye uwezo mdogo...poor him...
Amewadhalilisha sana polisi sijui kama analijua hili...
Poleni PT.
Wengi wao ni failures huo ndio ukweli hawajadhalilishwa.Amekosea sana....kwa hiyo jeshi la polisi ni kwa ajili ya watu wenye uwezo mdogo...poor him...
Amewadhalilisha sana polisi sijui kama analijua hili...
Poleni PT.
Kwa nchi makini Simbachawene kufikia asubuhi ya kesho hakupaswa kuendelea kuwa ofisini
Hata kifichoni bado ni upumbavu wa hali ya juu. Kwanza kazi ya polisi siyo kulinda benki wala kucheza kwata.Maneno ya dharau sana haya...hata kama ni kweli hakupaswa kuongea hadharani.
Timu low IQ naona umeshafikaTimu gaidi ngoja waje
Wewe ni pingapinga huwezi kuelewa.
Kwanini mliwasajili ili wakajiunge waje JKT si mngewaambia mapema kabisa kuliko watu waje wajitolee miaka miwili then Ajira zukija mnawatolea nje.Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.
Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na kucheza gwaride amefafanua waziri.
Chanzo: ITV Dakika 45
Kwa habari kamili fuatilia kipindi
Kumbe hii kazi ya upolisi ni ya Kingai ngai sio, daah ccm Sina hamu nanyi ila wenyewe mapolisi wamesikia wakiamua kufanya Kama kamanda Hamza poa tuu.Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.
Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na kucheza gwaride amefafanua waziri.
Chanzo: ITV Dakika 45
Kwa habari kamili fuatilia kipindi
Ndiyo maana tunasema kuendelea kuongozwa na watu wale wale, wenye maono yale yale kwa kutumia system ile ile ni wendawazimu na hakuna kitakachobadilika. Kwani kazi ya polisi ni kulinda benki au kucheza kwata? Bila katiba mpya itakayoondoa watu na mawazo mgando kama haya hakuna jipya.Wengi wao ni failures huo ndio ukweli hawajadhalilishwa.
RPC wamo katika hiliConclusion;1,polisi wote ni vilaza,
2,kazi ya polisi ni kulinda bank tu,
????
Be serious simbachawene
Wewe ni pingapinga huwezi kuelewa.
Wanataaluma wameelewa haraka sana!
Chadema kila kitu mnageuza siasa!Kabisa waziri kaeleweka vilaza waende polisi kuokota rushwa za bukubuku huko road