Doooh! acha tupige kimya...Naogopa kucomment,baba yake ni mganga mashuhuri
Doooh! acha tupige kimya...Naogopa kucomment,baba yake ni mganga mashuhuri
Hawakubali maelekezo ya kikudaWaziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.
Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na kucheza gwaride amefafanua waziri.
Chanzo: ITV Dakika 45
Kwa habari kamili fuatilia kipindi
Ndo maana hawa watu wanamataumizi ya nguvu kuliko akili wengi pia wanatumia sigara kubwa! Yaani dunia inahitaji intellijentsia kubwa unajazavilaza wasiojitambua jeshini!Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.
Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na kucheza gwaride amefafanua waziri.
Chanzo: ITV Dakika 45
Kwa habari kamili fuatilia kipindi
Hawa kwa kawaida hawa-dili moja kwa moja na raia; wana profesheni zao maofisini. Vilaza aliomaanisha Mh. Waziri ndio wanatekeleza core functions za jeshi la polisi - ulinzi wa raia na mali zao; kukamata, kupeleleza, na kutoa ushahidi mahakamani hufanywa na vilaza badala ya cream!Kuna madogo walipiga Div 1 O-level, A-level, na GPA above 3.5 pale UDSM tena BSc. Computer Science kisha wakaingia police force...😯
Nahisi amenukuliwa vibaya huyo mheshimiwa au watu hawajamuelewa kwa maana ya mleta mada hajatuelezea context ya kwanini au ilikuwaje wakati anazungumza hivyo.
Hahahaaaa.... Tunazungumzia sifa bwashee.Upo nje ya mada.
Hii fungulia thread yake.
Kama ni hivyo majukumu ya kukamata na kushitaki mwaondoshee kwani yapo juu ya uwezo wao, mtafute watu sahihi wakufanya hayo🏋️.Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.
Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na kucheza gwaride amefafanua waziri.
Chanzo: ITV Dakika 45
Kwa habari kamili fuatilia kipindi
Ukweli au ujinga huo?Kasema ukweli lakini
Huo mdomo utampoza,nadhani atakuja kukanusha kuwa hakusema hivyo kwenye luninga, kajikaanga kwa mafuta yake mwenyeweKwa nchi makini Simbachawene kufikia asubuhi ya kesho hakupaswa kuendelea kuwa ofisini
Kumbe ndo maana hata waziri wakapewa mwenye elimu ya kuunga unga ili wakaongee lugha moja......Kwa hiyo jeshi la Polisi Tz linajivunia kuwaajiri watu wenye elimu duni huku likiwaacha kimakusudi watu wenye ufaulu mzuri?!
Huu ni uwendawazimu.
Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.
Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na kucheza gwaride amefafanua waziri.
Chanzo: ITV Dakika 45
Kwa habari kamili fuatilia kipindi
Umeiweka vizuri sañaConclusion;1,polisi wote ni vilaza,
2,kazi ya polisi ni kulinda bank tu,
????
Be serious simbachawene
Huwezi kumpeleka mtoto wako aliyepata division one kwenye jeshi la polisi . Huo ndiyo ukweli kama alivyosema Waziri.Wataleta umachinoo kwenye jeshi
Unamkumbka na yule aliyesemaga "Walimu wote wa shule ya msingi ni Form 4 Failures"?Maneno ya dharau sana haya...hata kama ni kweli hakupaswa kuongea hadharani.
MmmmmmhhhhMmmmmmhhhhUmeiweka vizuri saña