Mzee Chayai
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 567
- 1,120
Jeshi la vilaza. Wasiojua PGO
Kwanza huyo waziri hafai kuendelea kubaki kwenye nafasi hadi dakika hii.Hii Kauli ya Waziri inaweza sababisha Mgawanyiko Sana baina ya Askari na ni Kauli mbaya Sana ya kufanya Askari wetu Wadharaurike Mtaani.Kakosea sana Waziri.Hizi Kauli ndio Hufanya watu watuchukie CCM Kwa mambo ya Watu wachache ambao hawapimi wanachooongea kwenye Jamii ni kipi
Umeniwahi tuu,mama anatakiwa kumfuta Kazi huyu Waziri amedhalilisha chombo cha dola,mama akimuacha huyu nitashangaa Sana.Kwa nchi makini Simbachawene kufikia asubuhi ya kesho hakupaswa kuendelea kuwa ofisini
Hii Kauli ya Waziri inaweza sababisha Mgawanyiko Sana baina ya Askari na ni Kauli mbaya Sana ya kufanya Askari wetu Wadharaurike Mtaani.Kakosea sana Waziri.Hizi Kauli ndio Hufanya watu watuchukie CCM Kwa mambo ya Watu wachache ambao hawapimi wanachooongea kwenye Jamii ni kipiMwisho wa kufikiri kwa viongozi wa kisiasa hapo; wanatengeneza 'inferiority complexity' kwa wataoulinda benki ili wawaamuru kutenda chochote wanachotaka sio!!!
PGO iliyochambuliwa imefumua mengi mno pamoja na hicho anachokikataa
Yupi yupo Sahihi Kati ya mleta mada au Wewe? Kwani hii Kauli sio nzuri kabisaMmeelewa vibaya ama mleta mada ameleta mada nusunusu. Nilivyomuelewa amesema wazi kuwa kutokana na mahitaji ya wakati huu ndioa maana wamechukua vijana hao, kwa kuzingatia hata maofisa waliohitimu karibu 2000+ lazima watahitajika wale makonstebo na ndio maana wamechukua hao vijana. Lkn pia ajira sio mwisho wake, miaka ijayo zitatoka na zitaeleza aina ya wahitaji.
Kama kweli waziri kasema hivi basi ajitafakari Kama alijiandaa kabla ya kurekodi hicho kipindiWaziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.
Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na kucheza gwaride amefafanua waziri.
Chanzo: ITV Dakika 45
Kwa habari kamili fuatilia kipindi
Mimi niko sahihi, mleta mada amekata kipande ili kuleta taharuki tu lkn alitoa ufafanunuzi yakinifu na wenye mashiko.Hii Kauli ya Waziri inaweza sababisha Mgawanyiko Sana baina ya Askari na ni Kauli mbaya Sana ya kufanya Askari wetu Wadharaurike Mtaani.Kakosea sana Waziri.Hizi Kauli ndio Hufanya watu watuchukie CCM Kwa mambo ya Watu wachache ambao hawapimi wanachooongea kwenye Jamii ni kipi
Yupi yupo Sahihi Kati ya mleta mada au Wewe? Kwani hii Kauli sio nzuri kabisa
Acha awadhalilishe vilaza wakeManeno ya dharau sana haya...hata kama ni kweli hakupaswa kuongea hadharani.
DahWaziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.
Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na kucheza gwaride amefafanua waziri.
Chanzo: ITV Dakika 45
Kwa habari kamili fuatilia kipindi