Waziri Simbachawene: Huwezi kumchukua aliyepata divisheni 1 ili akalinde benki au kucheza gwaride, lazima muelewe jamani

Waziri Simbachawene: Huwezi kumchukua aliyepata divisheni 1 ili akalinde benki au kucheza gwaride, lazima muelewe jamani

Kwa marekani huwezi kuwa General wa jeshi bila kuwa na Masters degree, in fact General David Patreaus aliyeikomboa Iraki kutoka kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewei iliyokuwa imeanza kuibuka lakini akakumbwa na kashfa ya ngono ana Ph.D. yule kamanda. Askari wa marekani ni wasomi sana. Kuna mwanafunzi wangu mmoja aligraduate miaka kumi iliyopita akaniomba nimuandikiea barua ya reference kwenda graduate school, sasa hivi ni Brigadier General na kamanda wa special operations huko Arizona- hua tunawasiliana mara kwa mara kila anapohama au kupanda cheo hunitumia message.
Iraq iliangamizwa
 
Mnataka wasomi wapewe silaha si wataigeukia serikali wakikorofishwa? Serikali inaogopa.
 
Maana yake ni kwamba polisi hawatakiwi watu wenye akili.
Ukiweza kuvuka barabara mwenyewe unafaa kuwa polisi.
Hao wenye akili nyingi waacheni wasome hadi vyuo vikuu wakafanye kazi maofisini.
 
Amekosea sana....kwa hiyo amepigia mstari kauli za watu kuwa jeshi la polisi ni kwa ajili ya watu wenye uwezo mdogo...poor him...
Amewadhalilisha sana polisi sijui kama analijua hili...
Poleni PT.
Waziri kaongea ukweli mtupu
Tabu ya kuelewa mnajipa wenyewe.
 
Hapo Simbachawene KAKOSEA BIG TIME.
Kamati ya Ulinzi na Usalama CCM na Taifa ilitolee hili tamko ufafanuzi.
Simbachawene inaelekeabado hana uweledi na kazi yake.
Yes Simbachawene amekosea kusema ukweli kwamba jeshi la polisi limejaza failures. Adhibitiwe maana huko ccm ni marufuku kusema ukweli
 
Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.

Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na kucheza gwaride amefafanua waziri.

Chanzo: ITV Dakika 45

Kwa habari kamili fuatilia kipindi
Na Sirro yumo? Kumbee!
Sasa nimemuelewa Kingai na wenzake japo ajenda ya uccm itawabeba.
 
Kuna polisi wenye uwezo mkubwa kitaaluma na hata akili zao zipo poa. Ila si wengi sana na labda walijiingiza huko kwa ajili ya kupata ajira tu. Ila mheshimiwa Waziri kakosea kuongea kitu kilicho kweli kwa asilimia kubwa ya hao jamaa.
 
Jeshi la polisi linatakiwa kufanyiwa Reform kubwa...kubadili mitaala ya kikoloni...na kuliunda upya....bahati mbaya hawa jamaa hawajali na polisi wenyewe ni wanyanyasaji sana...Viburi na jeuri..wachache ni waaungwana ila wengi ni shida.
 
Kimbilio la waliofeli ni ualimu na upolisi_Roma nasubir nauli ya waziri wa elimu
 
Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.

Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na kucheza gwaride amefafanua waziri.

Chanzo: ITV Dakika 45

Kwa habari kamili fuatilia kipindi
Hahhaa failure ndiyo wanafaa?
 
Hili siyo jeshi ni kampuni ya ulinzi
Jeshi la polisi linatakiwa kufanyiwa Reform kubwa...kubadili mitaala ya kikoloni...na kuliunda upya....bahati mbaya hawa jamaa hawajali na polisi wenyewe ni wanyanyasaji sana...Viburi na jeuri..wachache ni waaungwana ila wengi ni shida.
 
Ila PT wanadharaulika hata na Wakuu wao,hii kauli bora kukaa kimya tu siyo kila jambo ni kulijibu.

Amezidi kuimwagilia mbegu ya unyanyapaa katika jamii.
 
Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.

Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na kucheza gwaride amefafanua waziri.

Chanzo: ITV Dakika 45

Kwa habari kamili fuatilia kipindi
Haipendi kazi yake huyu.
 
Back
Top Bottom