Kuna misukule tukiandika humu kuwa TanPol ndio jeshi la vilaza kuliko majeshi yote,wanatupinga,haya leo bosi wa TanPol kadhihirisha wazi kuwa sifa kuu ya kujiunga na TanPol ni "ukilaza".Maana yake jeshi la polisi limeundwa na vilaza.
Siro na vijana wako mpo? Waziri kasema sifa ya kujiunga na jeshi la polisi lazima mtu awe kilaza.
TanPol neno "intelijensia" lipo kinyume chake.Ndio maana taarifa zao za Kiintelejensia huwa zina walakini....
Weka hapa tusikilize wenyewe.Mmeelewa vibaya ama mleta mada ameleta mada nusunusu. Nilivyomuelewa amesema wazi kuwa kutokana na mahitaji ya wakati huu ndioa maana wamechukua vijana hao, kwa kuzingatia hata maofisa waliohitimu karibu 2000+ lazima watahitajika wale makonstebo na ndio maana wamechukua hao vijana. Lkn pia ajira sio mwisho wake, miaka ijayo zitatoka na zitaeleza aina ya wahitaji.
Amekosea sana....kwa hiyo amepigia mstari kauli za watu kuwa jeshi la polisi ni kwa ajili ya watu wenye uwezo mdogo...poor him...
Amewadhalilisha sana polisi sijui kama analijua hili...
Poleni PT.
😍Mmeelewa vibaya ama mleta mada ameleta mada nusunusu. Nilivyomuelewa amesema wazi kuwa kutokana na mahitaji ya wakati huu ndioa maana wamechukua vijana hao, kwa kuzingatia hata maofisa waliohitimu karibu 2000+ lazima watahitajika wale makonstebo na ndio maana wamechukua hao vijana. Lkn pia ajira sio mwisho wake, miaka ijayo zitatoka na zitaeleza aina ya wahitaji.
Ametudhalilisha mapolisi
Weka hapa tusikilize wenyewe.
Kuna misukule tukiandika humu kuwa TanPol ndio jeshi la vilaza kuliko majeshi yote,wanatupinga,haya leo bosi wa TanPol kadhihirisha wazi kuwa sifa kuu ya kujiunga na TanPol ni "ukilaza".
Duh!!!
Kwa marekani huwezi kuwa General wa jeshi bila kuwa na Masters degree, in fact General David Patreaus aliyeikomboa Iraki kutoka kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewei iliyokuwa imeanza kuibuka lakini akakumbwa na kashfa ya ngono ana Ph.D. yule kamanda. Askari wa marekani ni wasomi sana. Kuna mwanafunzi wangu mmoja aligraduate miaka kumi iliyopita akaniomba nimuandikiea barua ya reference kwenda graduate school, sasa hivi ni Brigadier General na kamanda wa special operations huko Arizona- hua tunawasiliana mara kwa mara kila anapohama au kupanda cheo hunitumia message.Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.
Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na kucheza gwaride amefafanua waziri.
Chanzo: ITV Dakika 45
Kwa habari kamili fuatilia kipindi
Haohao kesho watakuwa IGP ndiyo maana PGO haipandiWaziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.
Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na kucheza gwaride amefafanua waziri.
Chanzo: ITV Dakika 45
Kwa habari kamili fuatilia kipindi