Waziri Simbachawene: Huwezi kumchukua aliyepata divisheni 1 ili akalinde benki au kucheza gwaride, lazima muelewe jamani

Unamaanisha Katiba Mpya ndio itakayokuja kuondoa failures?!

Sioni kosa la Simbachawene, wengi wa polisi wetu hasa wa ngazi za chini ni failures huu ndio ukweli. Kwata na kulinda benki ni mojawapo ya mazoezi na kazi zao, huu nao ni ukweli mtupu, wacha jazba afande.

Ndio maana matendo yao ya hovyo husadifu viwango vibovu vya elimu walivyo navyo, polisi wasomi wengi hawana muda wa kuhangaika kupiga watuhumiwa.
 
Kwa hiyo kazi ya polisi haihitaji weledi, I mean professionalism.......unajengaje professionalism kwa bongolala...
Unajua elimu za viongozi wako hapo Ufipa?

Mwenyekiti, Sugu, Mnyika, Lema, Prof Jay, Bulaya nk...nk...lakini wanafanya vizuri sana kwenye majukumu yao!
 
Kwa hiyo kazi ya polisi haihitaji weledi, I mean professionalism.......unajengaje professionalism kwa bongolala...
Unajua elimu za viongozi wako hapo Ufipa?

Mwenyekiti, Sugu, Mnyika, Lema, Prof Jay, Bulaya nk...nk...lakini wanafanya vizuri sana kwenye majukumu yao!
 
Kuna madogo walipiga Div 1 O-level, A-level, na GPA above 3.5 pale UDSM tena BSc. Computer Science kisha wakaingia police force...😯
Nahisi amenukuliwa vibaya huyo mheshimiwa au watu hawajamuelewa kwa maana ya mleta mada hajatuelezea context ya kwanini au ilikuwaje wakati anazungumza hivyo.
 
Unamaanisha Katiba Mpya ndio itakayokuja kuondoa failures?!

sioni kosa la Simbachawene, wengi wa polisi wetu hasa wa ngazi za chini ni failures huu ndio ukweli.
🤣 Hapana. Simaanishi hivyo hata kidogo. Maana yangu ni kuwa utaratibu wa kazi wa polisi utabadika na utakuwa wa kitaalam zaidi, hivyo wataajiriwa polisi kwa kuzingatia utaalam. 🤣
 
Kamanda Zerrrrroooo rijambazi rimekimbiria kure kwenye matofari,
Chacha chukua pozisheni hapa,
rajabu chukua Kona ire

Kamanda chare hakikisheni upande wenu huko harichomoki hiri rijizi umenipata ovaaaaaa!


Ovaaaaaa mura nimekupa vema dakika Tatu ni mashamburizi!

💥💥💥💥💥💥🔫
 
Nilisoma mahali huyu bwana chuichawene ana elimu ya hapa na pale na alianzia kuwa konda, alitumia ndumba gani kuukwaa uwaziri wakati kiuhaliia upolisi ndo ulikuwa size yake.....kama chuichawene kaweza kukwaa kazi ya watu wenye div. 1 anazuia vipi wenye dv. 1 kuukwaa upolisi.....aache double standard.
 
Huyu nae ni mpuuzi,kwa shida za ajira,hata hao divisheni one,wanataka ajira.
Waziri anashangaa divisheni one kupiga kwata wakati wenye shahada wanakuwa boda boda!!!
 
Hapo Simbachawene KAKOSEA BIG TIME.
Kamati ya Ulinzi na Usalama CCM na Taifa ilitolee hili tamko ufafanuzi.
Simbachawene inaelekeabado hana uweledi na kazi yake.
 
Naogopa kucomment,baba yake ni mganga mashuhuri
 
Unajua elimu za viongozi wako hapo Ufipa?

Mwenyekiti, Sugu, Mnyika, Lema, Prof Jay, Bulaya nk...nk...lakini wanafanya vizuri sana kwenye majukumu yao!
Jibu swali, je, kazi ya upolisi haihitaji weledi?
 
@
Polisi wana vyuo vyao, usisahau hilo!
Ha ha 🤣🤣🤣🤣 umeshawahi kusikia hicho chuo Kuna mtu amedisco au amefeli?Umewahi kusikia hivyo vyuo vyao Kuna mtu ana first class?Umewahi kusikia Kuna CAT au UE kwenye hivyo vyuo vyao?Umewahi kuona maprofessor wanaofundisha hivyo vyuo vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…