tatizo fikra za hao wanaoitwa viongozi huishia pale penye upeo wa macho yao tu na si mbele zaidi.Simba chawene ataondoka lakini TISS itaendelea kuwepo kwahiyo hiyo sheria anayokomaa nayo leo ...kesho inaweza kumnyoosha
amenSasa hivi miili haitookotwa kwenye viroba tena. Itatupwa ovyo maana wana kinga. Mungu tusitiri na janga la uongozi wa hii nchi kwa sasa. Pitisha shani yako kwa kutuondolea kwa amani wale wote wenye nia ovu na taifa lako.
Warestishe in peace kila wenye mikono yao katika udhalimu na ukandamizaji wa nchi hii ikiwemo wauza bandari pia.
ofcourse, kila mtu ana kinga. sijajua specifically kinga hiyo ni kwenye suala gani hasa, manake hata polisi akipiga na kuua kama hajatumia excessive force na kama ilikuwa lazima kujilinda n.k, ana kinga, na raia pia hivyo hivyo. sasa hicho wanachokilinda kwa tiss sijui ni nini though najua pengine wanaweza kuwa na good intentions.kila mtu ana kinga, ili akitufanyia mabaya sheria imlinde
sijui tukimbilie wapi
watu wenyewe tunawaogopa tangia hapo, halafu wanajiwekea kinga, sa inakuwaje