Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Nchi ikiingia kwenye machafuko ccm watafurahi sana, maana hiyo hali wanaitafuta kwa udi na uvumba. Wanayofanya ni kuwatia WaTz vidole jichoni, nani atakubali atobolewe jicho lake?Waziri George Simbachawene akitoa ufafanuzi kuhusu kinga kwa maafisa wa Idara ya Usalama wa Taifa kama ilivyoelezwa kwenye Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa wa Mwaka 2023.
Tayari Bunge limepitisha muswada huo na sasa utapelekwa kwa Rais kwa ajili ya kusainiwa. Kazi kwenu
NB: Hata wa bandari nao utapitishwa hivi hivi.
View attachment 2650136