Waziri Simbachawene: Tunapozungumzia kinga kwa Usalama wa Taifa, tunazungumzia kinga dhidi ya Ugaidi

Nchi ikiingia kwenye machafuko ccm watafurahi sana, maana hiyo hali wanaitafuta kwa udi na uvumba. Wanayofanya ni kuwatia WaTz vidole jichoni, nani atakubali atobolewe jicho lake?
 
Mungu alivyo wa ajabu huu mswada utaanza kuwashughulikia waliotunga hii Sheria na wataanza kulialia huku tukiwatazama kwa kucheka

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
binafsi nakubaliana na hii sheria ya Kinga kwa watumishi wa usalama. maana Kuna wakati wanapata maagizo kutoka kwa idara , na kwakuwa wanakiapo ni lazima atii na afanye kazi , maana hii nchi ilikuwa imeanza kuwa ya kukomoana na visasi . Bora wameileta hii sheria . Ila kwa atakaye onea kwa Hira binafsi Basi tutamshirikishi kuhani lema , atushitakie kwa mungu ili aingilie Kati .
 
Uzuri baada ya muda kidogo hii Sheria itatumika kuwapoteza walioitunga.
TISS IPO na itaendelea kuwepo, watawala wanapita na watashughulikiwa wakikorofisha
 
Uzuri baada ya muda kidogo hii Sheria itatumika kuwapoteza walioitunga.
TISS IPO na itaendelea kuwepo, watawala wanapita na watashughulikiwa wakikorofisha
 
Kwa kupitishwa Sheria hii, kama wa-Tz wangekuwa smart kama raia wa nchi zingine zenye watu wenye akili nzuri, mpaka leo pengine tungekuwa na Utawala wa Serikali ya mpito.
 
"Noah Nyeusi"
 
Ni kama imefafabuliwa kuwa kinga ipo hasa kwenye utekelezaji wa masuala yanayopinga ugaidi, ingawa hapa naona loophole, maana mfano Mr Y amemfuma jamaa na demu wake akamuua upo uwezekano marehemu akasingiwa kosa lenye kinga kwa Mr. Y, unless sheria iwe so specific.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…