PostGE2025 Waziri Simbachawene: Tusirudie kuandamana, tushirikiane na Polisi. “NI RAFIKI ZETU”

PostGE2025 Waziri Simbachawene: Tusirudie kuandamana, tushirikiane na Polisi. “NI RAFIKI ZETU”

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Hawa si rafiki zetu, ni WAUAJI WETU.
Chawene unaongea kupalilia ulaji wako, lakini from the innermost chamber of your heart unajua kuwa hawa si rafiki. Untill the whole bloodfucken thing is dismantled, true statements of love can never be said to exist betwee civilians and police killers.

Au mnasemaje wadau
 
Viongozi wote wanapalilia ulaji tu,tuna tatizo kubwa la kimaadili nadhani,sidhani kama mtu mwenye akili timamu anaweza kuwa sehemu ya uharamu huu kisa tu ya manufaa binafsi.

Wanakula,kunywa na kustarehe kwa gharama ya kumwaga damu ya wengine.
 
Simbachawene are you serious? Can you befriend who killed your entire family?
 
Police hawana tatizo, tatizo ni Green Guard al maarufu Mungiki mnaowavalisha sare za police na jeshi. Mmeparalize vyombo vya ulinzi. Pia mnatumia mamluki kutoka mnakokujua.
Iko wazi Mungiki wako hadi kwenye vyombo vingine na hawa ndio ngao yenu. Wacha wazalendo wawafumue tu.
 
Kimsingi polisi walitakiwa waanze kutekwa na kuwapatiliza walichowafanyia watanganyika na sio kuwaita marafiki toka lini polisi tz akawa rafiki wa wananchi?
 
Aende zake huko sura imemkomaa kama jadu, hao mapolisi wanaoua raia kwa maelekezo yao waunde nao wao urafiki sisi hatuwataki kuanzia wao mpk hao wapumbavu..!!
 
Huyu mtu kumbe ni punguani kiasi hiki!

Yaani jitu linaua ndugu zako, rafiki zako na wanadamu wenzako kwa ujumla, halafu eti awe rafiki yako!! Mwendawazimu mkubwa huyu.

Kwa sasa adui mkubwa wa Watanzania ni hao mashetani KMKM, polisi, na watawala walioamrisha mauaji ya wananchi. Hawa kamwe hawawezi kuwa marafiki wa Watanzania.

Tunawalilia na kuwakumbuka sana ndugu zetu, vijana wetu na watanzania wenzetu waliouawa na haya mashetani, nasi kamwe hatutawasaliti marehemu wetu eti tuje tuangane na wauaji wao na kuwafanya marafiki zetu, maana tukifanya hivyo ni sawa na sisi kuwa washirika wa wauaji.
 
Back
Top Bottom