robbyr
Senior Member
- Apr 8, 2017
- 129
- 221
Chanzo: mtandaoni
George Simbachawere ni dharau kwa spika au maamuzi yako?
Kuna vijana wamejitolea kwenye shule za serikali zaidi ya miaka 3 hadi 4. Spika aliomba kufanyike utafiti ili wawe kipaumbele lakini kwa kauli yako bungeni ulisema zoezi lina changamoto.
Kwangu hapana. Kwani kuna baadhi ya shule zimekuwa zikwalipa pesa kidgo kama nauli kupitia account zao jambo ambalo linaweza kutumia kama kukusanya taarifa.
Kupitia mikoa na wilaya viongozi wangeweza kusimamia zoezi hili ila kwangu naona ni ukaidi wa wizara.
Serikali iwe na huruma kwa vijana walijitoa kwa muda mwingi 🥺
Pia suala hili la usaili ni kuumiza vijana kihisia na kwangu naona kama suala gumu sana.😪
Naona bora serikali iendelee na sandakawale tu kuliko huu utaratibu.