Waziri Simbachawene: Watanzania wanataka amani, maendeleo, siyo Katiba Mpya

Huyo is a mere Automotive Engineering Technician(Fundi Mchundo wa Magari) from Technical college Arusha.
 
Vipengele unavyo pendekeza vibadilishwe kidogo viko complex na kwasababu ambazo zinaweza kuwa nje ya uwezo wetu, sio rahisi kwa wananchi kurusiwa kufanya maamuzi hayo. Ila ndio mwanzo, wanaodai katiba mpya watu elimishe zaidi kuhusu mapungufu ya katiba tuliyo nayo sasa hizi na umuhimu wa kufanya mabidiliko yoyote
 
Yuko sahihi kabisa,chadema wanaamini katiba mpya itawaweka madarakani,poor chadema!!!
 
Simbachawene atupatie vitambulisho vya taifa hilo ndio jukumu lake. Hana uhalali wa kuongolea katiba maana yeye ni mfaidika wa hii katiba mbovu.
Hawa ndiyo wadau sasa wa hiyo katiba, wasipokuwa upande wako hao kuidai hiyo katiba ni kupoteza muda tu
 
Wananchi gani hao wa kuwauliza kuhusu katiba? Asilimia 80% ya watz hawajui chochote kinachoendelea nchini mwao, leo uwaulize kuhusu katiba? Ndiyo hao wanaitwa wanyonge, ambao JPM alikuwa very popular kwao kutokana na kuwa primitive kama wao
 
Hawez kuiponda hii inayompa ulaji hata kwa njia ya wizi
Na huo umwamba unaompa hana influence yeyote ya kusababisha katiba mpya ipatikane, wenye influence ni hawa akina Simbachawene ambao nyie mnawatukana. As long as mmeamua kuwa maadui wa kudumu wa washika mpini basi mtaendelea kuumia kwa muda mrefu sana.
 
Usitukane watu kwa sababu wamekosa hiki na kile, hao wote hawajapenda kuvaa au kuwa hivyo, ni factors nyingi sana zimewasukumia huko! Wewe kama una kauwezo na unajiona mjanja kwa hako ka uwezo kako then shukuru and piga kimya mf
 
Usitukane watu kwa sababu wamekosa hiki na kile, hao wote hawajapenda kuvaa au kuwa hivyo, ni factors nyingi sana zimewasukumia huko! Wewe kama una kauwezo na unajiona mjanja kwa hako ka uwezo kako then shukuru and piga kimya mf
Ni CCM, katiba mbovu na watu kama nyie ndio maana hao watu ni maskini wa kutupa
 
Katiba imewekwa na watu na hakuna any complex isiyorekebishika hapo, cha kwanza lazima tubadilishe process nzima ya chaguzi Tanzania,uchaguzi wa sasa ni wizi mtupu then viongozi lazima wadhibitiwe ili wawajibike na nafasi zao,kuna mengi sana ya kurekebisha, siamini katiba inampa uwezo politician kama mkuu wa wilaya kumweka mtu ndani bila warrant au mashtaka, na polisi wa bongo bongo na vyombo vya usalama lazima viwekwe sawa maana lile ni chaka la mauaji na kama kiongozi mbaya anaweza kutumia hivyo vyombo kuumiza wananchi wake...yapo mengi lakini muhimu katiba lazima ilinde na imhakikishie kila mtu haki sawa sio viongozi tuu na matajiri
 
Huyu jamaa,atulie kuongeaongea.Kuropokaropoka huko kunampunguzia heshima,anaonekana ni mwanasiasa mwepesi.
 
Ni CCM, katiba mbovu na watu kama nyie ndio maana hao watu ni maskini wa kutupa
So katiba mpya ndiyo solution ya matatizo yao yote? Ingekuwa hivyo basi kila nchi kipaumbele chake kingekuwa ni katiba mpya! Many factors are involved bro, katiba ni mojawapo ya factor, but siyo kubwa kihivyo!!
 
Mkuu hata Mimi najiuliza,na Kama katiba mpya haipigi kura kwanini chadema waikomalie Sana!!?
Nyie mashabiki wa ccm ndio mnao weweseka na swala la katiba mpya na mnajificha hapo kwenye tume huru kua watu wa upinzani shida yao ni tume huru tu ili waingie madarakani.Wakati mnajua dhahiri kua kuwe na tume huru kusiwe na tume huru lazima uchaguzi ufanyike.na kama mnajiamini mko vizuri woga wenu ni nini kukiwepo hiyo tume huru ya uchaguzi.maana wananchi ndio wataamua kati ya mazuri mliyofanya dhidi ya yale ya upinzani.Inaonekana Ccm kuna kitu inakiogopa sio bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…