Waziri Simbachawene: Watanzania wanataka amani, maendeleo, siyo Katiba Mpya

Usitukane watu kwa sababu wamekosa hiki na kile, hao wote hawajapenda kuvaa au kuwa hivyo, ni factors nyingi sana zimewasukumia huko! Wewe kama una kauwezo na unajiona mjanja kwa hako ka uwezo kako then shukuru and piga kimya mf
Tatizo ni ufukara na umasikini mkubwa iliopo kwa wananchi wengi.Factors ni moja tu,ya serikali kushindwa kusimamia vizuri rasilimali zilizopo ili kuleta unafuu wa maisha bora kwa wananchi wake.Kuanzia elimu,afya na siha za watu.
 
So katiba mpya ndiyo solution ya matatizo yao yote? Ingekuwa hivyo basi kila nchi kipaumbele chake kingekuwa ni katiba mpya! Many factors are involved bro, katiba ni mojawapo ya factor, but siyo kubwa kihivyo!!
Nani kasema katiba ndio solution ya kila kitu? nyie watu mnaangalia leo tuu hamuangalii kesho na katiba sio swala la siasa, katiba haijali chama, leo mna serikali mnatumia hiyo katiba kunyanyasa,kuiba kura, kubambikia kesi watu, kufunga watu etc sijui unafaidika nini ila kumbuka next time katiba hiyo hiyo wenzako wataitumia kuumiza wajukuu zako, kitu kama tume ya uchaguzi ni kichekesho cha hali ya juu na ndio sababu kubwa nchi haina chaguzi za haki...badilikeni nyie acheni kuwa wapuuzi na ushabiki wa siasa mnajikomoa wenyewe na vizazi vyenu
 
Tatizo ni ufukara na umasikini mkubwa iliopo kwa wananchi wengi.Factors ni moja tu,ya serikali kushindwa kusimamia vizuri rasilimali zilizopo ili kuleta unafuu wa maisha bora kwa wananchi wake.Kuanzia elimu,afya na siha za watu.
Mimi nadhani matatizo mengi ya TZ/Africa yanaanzia kwa watu wenyewe, maana Serikali na taasisi zote hata za upinzani lazima ziendeshwe na watu, Sasa hao watu wakiwa shida basi shida haziwezi isha hata kama bible/quran ndiyo itakuwa katiba
 
Mbona unahukumu? Kwa hiyo wanaodai katiba mpya TZ wote ni watakatifu na wanaidai kwa nia njema? Na wanaoonekana hawapo upande huo wote ni wapotevu na wapuuzi na wananufaika na hii katiba iliyopo?
 
HAO HAO WALISEMA CORONA HAIPO TANZANIA.HALAFU WALIPOMALIZA KUMZIKA MWENDAZAKE...
 
Kat
Mimi nadhani matatizo mengi ya TZ/Africa yanaanzia kwa watu wenyewe, maana Serikali na taasisi zote hata za upinzani lazima ziendeshwe na watu, Sasa hao watu wakiwa shida basi shida haziwezi isha hata kama bible/quran ndiyo itakuwa
 
Huyu ni mwizi wa rasilimali za nchi yetu kwa hiyo Katiba iliyopo inamlinda hivyo hawezi kupenda Katiba itakayo mfilisi alichotuibia, kwani nani asiyejua kama huyu ni mwizi labda kijinini kwake na ccm wezeke
 
Yuko sahihi kabisa,chadema wanaamini katiba mpya itawaweka madarakani,poor chadema!!!
Wewe na wenzako akili zenu tunazijua. Mnachoangalia ni maadamu jambo limetajwa na mwana CCM tu inatosha kuliunga mkono.
Kwahiyo hii katiba ambayo inampa DPP authority ya kumfutia kesi Mtanzania yeyote iko sahihi kabisa?
Hii katiba inayozuia kundi la Utawala kutoshitakiwa pindi wakiwa madarakani na wakistaafu ni sahihi kabisa?.
Watu kama nyie ndio wale tunaosema ni heri wazazi wenu wangewapoteza kwa punyeto tu.
 
Usitukane watu kwa sababu wamekosa hiki na kile, hao wote hawajapenda kuvaa au kuwa hivyo, ni factors nyingi sana zimewasukumia huko! Wewe kama una kauwezo na unajiona mjanja kwa hako ka uwezo kako then shukuru and piga kimya mf
Usinipangie Cha kuongea Wala namna ya kufikiri hayo ni maoni yangu juu ya ccm na wafuasi wake wanavyoonekana shortly watu wenye uelewa mdogo ndio wanaoipenda ccm pamoja na kwamba ni hao hao ambao hawali mema ya nchi.
 
Wewe kichwani mwako utakuwa na kamasi nyingi sana!
 
Kwanini katiba mpya isiwe hitaji la wananchi??

Kwanini CCM walishaachana na kutumia zile simu za analogia (scroling /dialing) telephones za miaka 40+ iliyopita?

Katiba mpya ni ya lazima iendane na mahitaji na ukuaji wa nchi katika nyanda mbalimbali ikiwemo sayansi na teknolojia.

Katiba ya miaka zaidi ya 40 ilikuwa na mahitaji ya watu 16 mwaka huo 1977 si sawa na mabadiliko yaliyojitokeza hadi sasa ikidhi mahitaji ya watu millioni 60.

Ni mjinga tu ndio ataliamini hili ! Ila kwakua watanzania wengi hawajui haki zao basi wanasiasa wa CCM wanajizolea attention kupitia hili kundi ambalo ni kubwa..

Mfano wa PGO umetupa picha kubwa sana!
 
Katiba mpya ni muhimu katika kumwajibisha kiongozi aliyeshindwa kutekeleza ahadi alizohaidi wakati wa uchaguzi sasa mtu kama simbachawene hawezi kukubaliana na katiba mpya kwa sababu wao ndio wanaoongoza kuahidi ahadi ambazo hawatekelezi ndio maana 60years ya uhuru Tanzania bado tunazungumzia changamoto zilezile tu maji, umeme, afya,elimu na barabara
 
Watu tutafute kazi zakutuingizia kipato sio kulia na katiba mpya watu wote m60 itatupa ela.kuchokonoa katiba nisawa na kuchezea petrol
 
Mimi nilidhani mjadala wa Katiba Mpya umefungwa? Au ni upande mmoja tu ndio hawaruhusiwi kuujadili?

Amandla...
 
Ukiwa ndani ya ccm, katiba mpya haina umuhimu! Ukitoka nje ya ccm, katiba mpya ni muhimu!! Akili za makada wa ccm wanazijua wenyewe.
Mimi sishangai maana kati ya wabunge waliohodhi mchakato wa katiba mpya naye ni miongoni mwao, pia anajua ikiwepo katiba mpya hawezi kuendelea kuwa mbunge. Kwa wabunge wa aina hii ni hatari kwa ustawi wa Taifa letu

Ikiwa wananchi hawahitaji katiba mpya maoni yaliyotolewa na wananchi kupitia tume ya Jaji Warioba yalikuwa ni ya wapinzani tu? Na wapinzani siyo wananchi? Hapa Simbachawene anamaanisha Jaji Warioba na tume yake wote walikuwa wapinzani? Hii ni hatari Sana.
 
AMINI AMINI nakuambia hawa ndio watakao ililia katiba mpya kuliko mtu yeyote yule.
 
Wananchi gani hao wa kuwauliza kuhusu katiba? Asilimia 80% ya watz hawajui chochote kinachoendelea nchini mwao, leo uwaulize kuhusu katiba? Ndiyo hao wanaitwa wanyonge, ambao JPM alikuwa very popular kwao kutokana na kuwa primitive kama wao

Katiba ipatikane mpya itakayo tufanya tuwe na Rais aliye chaguliwa na wananchi sio Rais anayetembelea nyota ya mwengine na kutuchomekea mambo yake ambayo hatukuwahi kuyachagua. Kwa mfano sikuwahi kuchagua chanjo yeye utata hata mara moja. Ama kubariki mambo ya da mange, mzinga wa nyuki wa babu, nk na kuyapigia kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…