Waziri Simbachawene: Watanzania wanataka amani, maendeleo, siyo Katiba Mpya

Wananchi wajibu mara ngapi Mr Aiko ?!. Hiyo kazi iliyofanywa na tume ya jaji Warioba
Sidhani kama kura hiyo ya maoni ni representative ya jinsi wananchi wanavyo hisi kuhusu suala hili. Uhalisia wa hali iliyopo sasa hivi ni kwamba wananchi wanao fahamu kuhusu katiba ni wachache sana.
 
Yuko sahihi kabisa,chadema wanaamini katiba mpya itawaweka madarakani,poor chadema!!!
Kwanini kama munaamini Nyie ni Watendaji wazuri muogope Kubadili katiba kubali kataa mkuu kile kinachoiumiza chadema ndio hichokinachowapa kiburi Ccm leo kikitoka nakuahidi Ccm hata nyie makada wake mutatambua vitu flani naamin leo hii kuna watu wengi hawataki kua ndani ya Ccm wanataka kua wagombea Huru ila Katiba hairuhusu hilo the same hata kwa Upinzan kuna watu wengi hawataki kua ndan ya upinzan kwahio swala la katiba ni pana sana Mkuu lazima tu likubaliwe hata kama sio leo hata miaka5 ijayo...

Na Kwakuchomekea Hayo maendeleo munayoyasema nyie munajua kua yanaletwa na serikali inayochapa kaz kwelikweli na ilioingia kihalali..sasa katiba iliopo inaingiza serikali kihuni unadhani kutakua na nini hapo?? Maendeleo yatakuepo Mkuu??
 
Sidhani kama kura hiyo ya maoni ni representative ya jinsi wananchi wanavyo hisi kuhusu suala hili. Uhalisia wa hali iliyopo sasa hivi ni kwamba wananchi wanao fahamu kuhusu katiba ni wachache sana.
Kwahiyo ufahamu wa wananchi ukiwa mdogo tubaki kwenye katiba mbovu ?! . Omera ujinga gani huu ambayo watawala na wafuasi wao wanaendekeza ?!.

Ujinga uliopo kwa wananchi ni mkakati uliowekezwa maksudi na serikali kwao ili watawaliwe bila bughdha. Usiniambie nawe ni moja wao. Sirati onge jomofuo go .
 
Machafuko tu ndio njia sahihi ya hawa wahuni.
Hayo machafuko ataanzisha nani? Kama watu wanazuiwa kufanya jogging jumamosi asubuhi na wanaufyata, wataweza kuanzisha machafuko hao? Ni kusubiri siku CCM wakiamua ndipo katiba mpya itapatikana, zaidi ya hapo ni kujilisha upepo tu
 
Hata Mugabe na Albashir walifanya haya haya, Leta mrejesho wa mwisho wao.
o machafuko ataanzisha nani? Kama watu wanazuiwa kufanya jogging jumamosi asubuhi na wanaufyata, wataweza kuanzisha machafuko hao? Ni kusubiri siku CCM wakiamua ndipo katiba mpya itapatikana, zaidi ya hapo ni kujilisha upepo tu
 
Hata Mugabe na Albashir walifanya haya haya, Leta mrejesho wa mwisho wao.
Kwani chama cha Mugabe kimeondolewa madarakani? Si alimpisha tu Makamu wake, kuna tofauti kati ya Mnangagwa na Mugabe? Si wale wale tu!! Huwezi itolea mfano Sudan, hiyo ni failed state
 
Kwani chama cha Mugabe kimeondolewa madarakani? Si alimpisha tu Makamu wake, kuna tofauti kati ya Mnangagwa na Mugabe? Si wale wale tu!! Huwezi itolea mfano Sudan, hiyo ni failed state
Alimpisha Mnangagwa kwa machafuko? Au hujui maana ya kupishana? Kwani nchi yetu ina tofauti gani kubwa ya kimaisha ukilinganisha na hiyo Sudan iliyokuwa ya Elbashir?
 
Oimore. Kwanza kabisa ni vizuri kuelewa kwamba katiba mpya na tume huru ni matakwa ya wana CHADEMA na sio wananchi.

Kama katiba ni mbovu ni vyema kama tunge elimishwa angalau vitu muhimu ambavyo ni vya kubadilishwa au njia ambazo wananchi wana nyanyasika kwa hali ya sasa hivi. Maandamano na mikutano ya wana CHADEMA iendane na hoja nzito ya jinsi ambavyo watanzania wata nufaika kwa mabadiliko yoyote na jinsi ambavyo hali ya sasa hivi ni mbaya kwa wananchi.
 
Dah mimi sijawahi kuwaamini Wagogo. Naombeni mnisamehe lakini...Ndugai, Kibajaji, Simbachawene, Jumanne Malecela, Le mutuz......natanguliza samahani
Upo sahihi ndugu.
Nimeishi na Wagogo si chini ya miaka 25.
Lusinde, Malecela, Mavunde, na hawa wa zama hizi, wote hawaaminiki.
Angalau Lusinde, lakini waliobaki, ni " liability" kwa familia, jamii yao na taifa kwa ujumla.
 
Mr Aiko mbona unanisikitisha !! Kwa hiyo wewe kwako wana Cdm siyo wananchi ?!. Huu uelewa ni wa kiwango cha chini kiasi hata ukielimishwa kama unavyodai. HUTAELEWA

Pili unadai uelimishwe ubovu wa katiba ya sasa. UtaelimishwaJe ?! Huku hamtaki hata kuijadili !!.

Kwa ukubwa wa Ccm na rasilimali ilizonavyo hawakupaswa kuwaogopa wananchi ktk swala la katiba mpya na tume huru ya uchaguzi . Ni aibu sana.
 
Watu tutafute kazi zakutuingizia kipato sio kulia na katiba mpya watu wote m60 itatupa ela.kuchokonoa katiba nisawa na kuchezea petrol
Niliwahi kusikia wapuuzi nao ni muhimu katika jamii na wana nafasi yao
 
Kwanza kabisa wana CHADEMA ni kundi la watu wachache sana. Haiwezekani kwa kundi la watu hao kuwakilisha maoni ya watu milioni 60. Narudia tena, wanao dai katiba mpya wanafanya hivyo kwa malengo yao binafsi.

Kuelewa nita kuelewa tu na nina kusihi upitie katiba tuliyonayo sasa hivi na uorodheshe mapungu kwanza. Wewe mwenyewe binafsi ungependa kitu kipi kibadilishwe na kwasababu ipi?
 
Alilolisema Waziri nisawa na uwepo wa Polisi bila Mahakama
Mbona kila bunge kuna sheria zina pandikizwa na kabla hazijaanza zina tumbuliwa "mafao"
Waziri mnapenda kuleta mtifuano na kurudi kujidai mnalitatua
Acheni katiba mpya!!!!!
 
Yuko sahihi kabisa,chadema wanaamini katiba mpya itawaweka madarakani,poor chadema!!!
Sio tu kuwaweka chadema madarakani, lakini pia itaifanya ccm kuachia madaraka kwa uchaguzi huru na wa haki na kwa amani bila umwagaji wa damu😂😂
 
Hili jamaa nalishangaa sana , lenyewe linaona hii katiba ni bora kwasababu ina manufaa kwa watawala haya ndio yale yalio pita bila kupingwa, ni aibu kwa waziri mzima kushabikia katiba mbovu inayo mpa rais madaraka ya kifalme .
 
lijamaa linajikomba kwa rais, haya ndio yale yanayo mshauri vibaya rais nia aibu kubwa kwa taifa kuwa na mawziri kama hawa .
 
Kashiba huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…