Na ikibainika kama ni kweli je??Huu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.
Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko mtwara.
Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.
My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.
Nini hiki?SG Mzee wa legasi
Waliochoma moto wakamatwe.Na ikibainika kama ni kweli je??
Wewe kama walishiriki kuchoma na kuwakakamata sasa ndio kumsafisha hayati JPM?Utakamata wangapi kwa ajili ya kumsafisha DIKTETA wa Chato? Kitu gani wewe unatia wasiswasi juu ya UFEDHULI Magufuli?
Huhitaji kumkamata Zitto kujuwa kuwa Magufuli alikuwa SHETANI. Mambo yote yako kwenye clips zake akiagiza
Joyce Mukya amechoka kuvumilia genye wadau tunajilia tu.Relax mkuu usifoke hivi na kuonyesha ni jinsi gani ulivyokatili na mwenye visasi,hii ni kazi ya polisi kufanya investigation ili kujua UKWELI na huwezi kamata mtu kama ushahidi wa to link with crime huna,huyu kijana ni whistleblower na police wana utaalamu wa kumtafuta na kumhoji ili kujua ukweli,pls ni vema ukawa ni mtu unayependa kuona tunaishi kwa upendo sio hasira na ukatili.
Mbona wapo CHADEMA wengi tu hawajachanjwa!! Masuala ya kijamii msifungamanishe na siasa. Familia yangu ni CHADEMA dami ila siku JPM anafariki nilitoa chozi na wote tulimlilia sana almost mwezi mzima.Ni busara kuamini yaliyopita si ndwele tugange yajayo
Nawakumbusha hadi sasa kwa mujibu wa takwimi za Serikali waliotobolewa sindano kuingizwa uteute unaodaiwa kuzuia Corona ni only 2.2% ya Watanzania wote (inajumuisha waliotengeneza vyeti bila ya kutobolewa bega)
Hii ikimaanisha more than 97% blya Watanzania bila ya kujali tofauti za dini, kabila, itikadi ya kisiasa tupo upande wa Hayati JPM…acheni jitihada mfu za kumchafua Gwiji wa Uzalendo Hayati Comrade JPM
EhJoyce Mukya amechoka kuvumilia genye wadau tunajilia tu.
Gaidi usiombe msamaha kaa huko huko
Hio shamba la korosho huko nyuma alilikana .... sasa leo inakuwaje? Kumbe huyu kijana naye haaminiki ingawa anajifanya ana misimamo yake ....!! Kwa kulikana shamba lake la korosho alikuwa na malengo gani hasa ..... au ndiyo zile hofu za Magufuli ....!!Huu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.
Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko mtwara.
Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.
My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.
Zaidi, soma: 'Mtwara: Shamba la Korosho linalodaiwa kuwa la Zitto lachomwa moto na watu wasiojulikana. Zitto alikana...
Nyumba ya Mbunge Zitto Kabwe Mkoani Kigoma yaungua moto
Nyumba ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) iliyopo Mwandiga, mkoani Kigoma yaungua moto. Bado chanzo hakijajulikana. Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amezungumzia tukio la kuteketea moto nyumba yake jioni ya leo na kueleza kuwa licha ya moto huo kuunguza vitu...www.jamiiforums.com
Uzandiki mliofanya kwenye takataka za Tanzanite mmeusahau? That aside, Magufuli is gone forever. Mkubali msikubaliHuu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.
Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko mtwara.
Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.
My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.
Zaidi, soma: 'Mtwara: Shamba la Korosho linalodaiwa kuwa la Zitto lachomwa moto na watu wasiojulikana. Zitto alikana...
Nyumba ya Mbunge Zitto Kabwe Mkoani Kigoma yaungua moto
Nyumba ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) iliyopo Mwandiga, mkoani Kigoma yaungua moto. Bado chanzo hakijajulikana. Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amezungumzia tukio la kuteketea moto nyumba yake jioni ya leo na kueleza kuwa licha ya moto huo kuunguza vitu...www.jamiiforums.com
Bado mnaishi zama za meko?Huu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.
Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko mtwara.
Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.
My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.
Zaidi, soma: 'Mtwara: Shamba la Korosho linalodaiwa kuwa la Zitto lachomwa moto na watu wasiojulikana. Zitto alikana...
Nyumba ya Mbunge Zitto Kabwe Mkoani Kigoma yaungua moto
Nyumba ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) iliyopo Mwandiga, mkoani Kigoma yaungua moto. Bado chanzo hakijajulikana. Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amezungumzia tukio la kuteketea moto nyumba yake jioni ya leo na kueleza kuwa licha ya moto huo kuunguza vitu...www.jamiiforums.com
Tuliofanya akina nani? Kama ameshaenda ndio mtu alete uongo juu ya Marehemu?Uzandiki mliofanya kwenye takataka za Tanzanite mmeusahau? That aside, Magufuli is gone forever. Mkubali msikubali
Tumia common sense au akili ya kuzaliwa?Bado mnaishi zama ZA meko?
Meko kafa hamtaki kuamini????
Acheni kutukuza waliokufa, kama vipi aje yeye mwenyewe Magufuli kumkamata Zitto!Huu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.
Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko mtwara.
Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.
My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.
Zaidi, soma: 'Mtwara: Shamba la Korosho linalodaiwa kuwa la Zitto lachomwa moto na watu wasiojulikana. Zitto alikana...
Nyumba ya Mbunge Zitto Kabwe Mkoani Kigoma yaungua moto
Nyumba ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) iliyopo Mwandiga, mkoani Kigoma yaungua moto. Bado chanzo hakijajulikana. Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amezungumzia tukio la kuteketea moto nyumba yake jioni ya leo na kueleza kuwa licha ya moto huo kuunguza vitu...www.jamiiforums.com
Hoja sio kumuunga mkono hayati JPM hoja ni kupata ukweli na kujua ni akina nani walitumwa kuchoma nyumba na shamba lakoMbona wapo CHADEMA wengi tu hawajachanjwa!! Masuala ya kijamii msifungamanishe na siasa. Familia yangu ni CHADEMA dami ila siku JPM anafariki nilitoa chozi na wote tulimlilia sana almost mwezi mzima.
Nachosema tusifungamanishe mambo ya kijamii na siasa. Maana licha ya kwamba nilimlilia au kuna mtu hajapigwa chanjo haimaanishi lazma amuunge mkono JPM.
Waliochoma nyumba yake Dodoma kuwakamata? Waliochoma Imma advocate??Tumia common sense au akili ya kuzaliwa?
Niko vaccinated kwa utashi wangu na wala haihusiani na kumpinga JPM. Hoja yako ya mtu asiyechanja kwa kutopenda au kutopata fursa eti ndio kumuunga mkono marehemu ni mfu kabisa.Ni busara kuamini yaliyopita si ndwele tugange yajayo
Nawakumbusha hadi sasa kwa mujibu wa takwimi za Serikali waliotobolewa sindano kuingizwa uteute unaodaiwa kuzuia Corona ni only 2.2% ya Watanzania wote (inajumuisha waliotengeneza vyeti bila ya kutobolewa bega)
Hii ikimaanisha more than 97% blya Watanzania bila ya kujali tofauti za dini, kabila, itikadi ya kisiasa tupo upande wa Hayati JPM…acheni jitihada mfu za kumchafua Gwiji wa Uzalendo Hayati Comrade JPM
Ulichoandika kina mahusino na Zitto kusaidia polisi kuwajua waliotumwa na JPM kuchoma mali za Zitto?Waliochoma nyumba yake dodoma kuwakamata? Waliochoma imma advocate??
Meko alikuwa shetani tutake usitake
Acha kutetea UHAYAWANI, zoeeni maisha chini ya Rais SSH, huyo shetani wa Chato hafufuki. Na akifufuka atakufa tena kwa mshitukoWewe kama walishiriki kuchoma na kuwakakamata sasa ndio kumsafisha hayati JPM?