Huu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.
Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko mtwara.
Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.
My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.
Relax mkuu usifoke hivi na kuonyesha ni jinsi gani ulivyokatili na mwenye visasi,hii ni kazi ya polisi kufanya investigation ili kujua UKWELI na huwezi kamata mtu kama ushahidi wa to link with crime huna,huyu kijana ni whistleblower na police wana utaalamu wa kumtafuta na kumhoji ili kujua ukweli,pls ni vema ukawa ni mtu unayependa kuona tunaishi kwa upendo sio hasira na ukatili.
Ni busara kuamini yaliyopita si ndwele tugange yajayo
Nawakumbusha hadi sasa kwa mujibu wa takwimi za Serikali waliotobolewa sindano kuingizwa uteute unaodaiwa kuzuia Corona ni only 2.2% ya Watanzania wote (inajumuisha waliotengeneza vyeti bila ya kutobolewa bega)
Hii ikimaanisha more than 97% blya Watanzania bila ya kujali tofauti za dini, kabila, itikadi ya kisiasa tupo upande wa Hayati JPM…acheni jitihada mfu za kumchafua Gwiji wa Uzalendo Hayati Comrade JPM
Mbona wapo CHADEMA wengi tu hawajachanjwa!! Masuala ya kijamii msifungamanishe na siasa. Familia yangu ni CHADEMA dami ila siku JPM anafariki nilitoa chozi na wote tulimlilia sana almost mwezi mzima.
Nachosema tusifungamanishe mambo ya kijamii na siasa. Maana licha ya kwamba nilimlilia au kuna mtu hajapigwa chanjo haimaanishi lazma amuunge mkono JPM.
Huu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.
Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko mtwara.
Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.
My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.
Nyumba ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) iliyopo Mwandiga, mkoani Kigoma yaungua moto. Bado chanzo hakijajulikana. Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amezungumzia tukio la kuteketea moto nyumba yake jioni ya leo na kueleza kuwa licha ya moto huo kuunguza vitu...
Hio shamba la korosho huko nyuma alilikana .... sasa leo inakuwaje? Kumbe huyu kijana naye haaminiki ingawa anajifanya ana misimamo yake ....!! Kwa kulikana shamba lake la korosho alikuwa na malengo gani hasa ..... au ndiyo zile hofu za Magufuli ....!!

Niko vaccinated kwa utashi wangu na wala haihusiani na kumpinga JPM. Hoja yako ya mtu asiyechanja kwa kutopenda au kutopata fursa eti ndio kumuunga mkono marehemu ni mfu kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.