Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Ningependa ufahamu magumu wanayopitia watumishi walioko chini ya OR-Tamisemi hususani kada za
1. Elimu
2. Afya
3. Watendaji wa Serikali za mitaa
Hawa wanapitia mateso makubwa hususani wale wa chini kwa Wakuu wa idara wao kugeuka Miungu Watu hususani Waalimu stahiki yao nimegeuzwa mitaji ya Wakuu wa idara mfano fedha za uhamisho wa ndani na hata wa nje, nauli ya likizo, kujikimu (imekua Kama hisani na siyo haki) na pale wanapokuwa na barua za maombi Kama vile kweñda masomoni kubadilishana vituo vya kazi na uhamisho wa kawaida. Ukiwataka wafanye ulivyotamka unakuwa umeweka petroleum oil kwenye moto.
Wasaidie uhamisho badala ya kuwatelekeza. Umedangannywa na wanaokuambia na usitamani kurudishwa kituo chako cha zamani.