The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amewahamasisha wananchi wa Kijiji cha Idete, Kata ya Chanzuru, mkoani Morogoro, kuchangia nguvu kazi katika ujenzi wa mnara wa mawasiliano ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano, hasa vijijini.
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
Waziri Silaa ameungana na wananchi hao kukagua utekelezaji wa ujenzi wa minara 758 ya mawasiliano katika kijiji hicho, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali kuboresha huduma za mawasiliano nchini.