Waziri Sophia Simba - Mwenyekiti Mpya UW-CCM (Taifa)

1. Haya ndio baadhi ya matatizo aliyotuachia Mkapa, alipoamua kwa ubabe kuwa mwenyekiti wa UWT na katibu wake wawe wabunge automatically ili kumuokoa rafiki wa kusini mwenziwe Mama Anna Abdallah, ambaye alishajua mapema kua hawezi shinda ubunge kwenye jimbo tena,

- kule kwenye ubunge kuna dola $ 30,000 kila baada ya miaka mitano na shangingi moja la bure kila five years, toka Mkapa alete huu ubabe wake hizo nafasi mbili UWT zimekua mbinde tupu, na aibu kwa taifa licha ya CCM kama chama.

2. Now comes this, hawa wakina mama wawili inafahamika wazi ndani ya uongozi wa CCM na serikali on a national level, kwamba afya zao sio nzuri sana, infact ingekua majuu wasingekua viongozi wangetakiwa wapumzike pembeni na kuwaachia wenye afya safi, lakini bongo kwa vile ni bora liende tu wana gutts hata za kugombea uongozi zaidi, ingawa sasa hivi wote pia ni viongozi anyways!

3. Uwezekano wa Simba kushinda huu uchaguzi ni mdogo sana kuliko alivyotegemea mwanzoni, kwamba atasaidiwa na nguvu ya mtandao ile nguvu sasa haipo maana wenye nguvu wote huko sasa hivi wanajaribu kujitayarisha na msafara wa Kisutu, resources zote sasa zimeelekezwa huko kwa hiyo hakuna wa kumsaidia, Muungwana kwenye kuelekea 2010 hataki kabisa kugombana na kundi la asilia, ambali ndilo hasa linalomfadhili kisiasa sasa hivi ambako ndiko Mama Janet anakotokea,

- The dataz ni kwamba hata huu uchaguzi umesogezwa tarehe kwa makusudi kwa kushinikizwa na wabunge wa asilia ili waweze kumsaidia Mama Janet, maana watakuwepo Dodoma tayari kwa next kikao cha bunge, ninasema hivi the whole thing is pathetic, Rais Kikwete huu ni wakati muafaka wa kuondoa wabunge wa bure, wote wakagombee kwa wananchi na kusiwe na haya mambo ya kupewa ubunge wa chee maana haya ndio matokeo yake,

Hawa wawili ni vyema wote wakapigwa chini na kama ikibidi, basi wagombee wa visiwani tu kama vile kinana na jm walivyoamua kwenye uchaguzi wa vijana.

Thanxs!
 
Hahahahaha haya mzee wa dataz I love jf na watu wake kwa kweli doh
Live Long Life (LLL) mkuu Fmes
 
.....hapa labda amabaye anasukumwa na mafao ni sophia simba ..huyu mama kahama nadhani anataka kulinda heshima...prestige.....

nakubaliana na kamanda kuwa ubunge wa upendelea ..ufutwe......kule bungeni kuna kinamama ambao hawajawahi kuongea chochote...kwani kinamama wenye uwezo wa kufanya kazi wanaachwa ...sasa ni bora wote wakagombee..

kila wilaya au mkoa upewe nafassi kwa uuwiano za wanawake...na tukienda kwenye uchaguzi mkuu nao tuwapigie kura....kama kawaida.
 
Naona sasa mitihani kwa muungwana inaongezeka. kama mpambano huu unahusisha mtandao na asilia, mambo yatazidi kuwa magumu kwake kuelekea 2010 maana hapa kuna kazi ya kutafuta kuungwa mkono. kwa jinsi hali ilivyo, inaopnekana ni vigumu sana kuanza kutupa karata wakati huu kwa sababu hakuna mwenye uhakika wa nini hatma ya makundi haya, hasa ukiingiza na hii dilema ya epa na swagaswaga kisutu!
 
Kweli ni bora apewe Kasunga nafasi hiyo ili kukata mzizi wa fitna kama JK alivyofanya kwa Mwenyekiti wa UVCCM kwenda Zanzibar.
 
Mama Janet Kahama katoka mbali na UWT anaamini hii sasa ni zamu yake. Mama Sophia Simba yeye ni mtu wa kuja. Ni mwanamtandao wa JK hivyo mbinu zote safi na chafu lazima zitumike kuhakikisha Mtandao unashika jumuiya zote za chama. Pamoja na kelele zote za Mama Kahama, hiyo barua itamtoke puani. Kuliko CCM kukubali waziri wake wa utawala bora ametoa rushwa, hii itakichafua sana chama na serikali, hivyo ni bora kumkana Mama Kahama kuwa ni muongo na hivyo hafai. Sophia Simba atapeta kwenye uenyekiti, mtandao utafurahi, Mama Kahama atamwaga chozi kwani anaamini kwenye haki.

Kama Umoja wa Vijana wa CCM umeweza kuaford kumtosa kijana shupavu kama Nape, leo itakuwa issue kumtosa Mama Kahama, after all yeye 'hagawi', anabaniabania wakati wenzake wanagawa kama pipi!. Bado Mama Kahama ananafasi hapo?.
CCM ya Nyerere sio CCM ya JK. Ya Nyerere ilikuwa ya Uadilifu, hii ya JK ni ya 'mwenenacho' huongezewa na asiye nacho ananyang'anywa hata kidogo alichonacho. Debe tupu hupiga kelele na mkono mtupu haulambwi.

Haya mambo ya zamu kwenye uongozi yamepitwa na wakati.
 
Hiki chama sasa kinataka watu wenye aina fulani ya uendawazimu ili kukiweza. Wenye akili timamu na wachapakazi wanaonekana hawafai
 
.....hapa labda amabaye anasukumwa na mafao ni sophia simba ..huyu mama kahama nadhani anataka kulinda heshima...prestige.....

nakubaliana na kamanda kuwa ubunge wa upendelea ..ufutwe......kule bungeni kuna kinamama ambao hawajawahi kuongea chochote...kwani kinamama wenye uwezo wa kufanya kazi wanaachwa ...sasa ni bora wote wakagombee..

kila wilaya au mkoa upewe nafassi kwa uuwiano za wanawake...na tukienda kwenye uchaguzi mkuu nao tuwapigie kura....kama kawaida.

Bungeni uhitaji kuongea ili uonekane una kitu au points. kuna kura. Na hili ni tatizo la bongo, waongeaji ndiyo wanaonekana wana points siku zote, wakati mtu aliye kimya anaweza kuwa zaidi.
 
Samahani Mwanjelwa unaweza kuelaborate the quoted post, ulimaanisha nini hasa ?
 
Mama, I mean uhitaji kuongea uonekane una points. Unaweza ukawa kimya tu na ukawa na points na mtendaji mzuri sana. Siwatetei wale walio kimya kwa dhana ya hii topic, ila kuna tatizo sana kwa watanzania la kumwona muongeaji kama mtu anyejua.
 
Mtu akikaa kimya muda wote utajuaje kama ana point au hana point? Inabidi mtu kuongea ndiyo ujue anapoint au hana point! Please explain! Au unaongelea wale wanao-ongea sana na wale wanaongea kifupi?
 
Swali zuri Interested Observer.
 
Na hili wana JF ndiyo chimbuko la ufisadi ndani ya Dola.
Huyu mama ni kiongozi senior katika Serikali.Leo anagawa fedha kama njugu, fedha ambazo anaziwekeza na ni lazima zitarudi tu kama akishinda uchaguzi.
UFISADI utakwisha kweli?
Hii ni pamoja na mam huyo kuona vigogo wenziwe Mramba na Yona kuonja selo.
Muungwana yupo hapo?
Wanakubeep
 
Mama, I mean uhitaji kuongea uonekane una points. Unaweza ukawa kimya tu na ukawa na points na mtendaji mzuri sana. Siwatetei wale walio kimya kwa dhana ya hii topic, ila kuna tatizo sana kwa watanzania la kumwona muongeaji kama mtu anyejua.

Kwa kawaida, mtu mwenye point, hata asipoongea mara kwa mara, utamjua tu kwua ana point, hata kwa jinsi anavyoyafanya mambo yake. na siku akiamua kuongea ndio utajua kabisa kwamba hiki ni kichwa. lakini wapo ambao hata ukimuangalia katika ukimya wake, unajua kabisa kuwa huyu akifungua kinywa tu ni disaster. hao ndio aina nyingi ya tuliona Bungeni
 
Mama, I mean uhitaji kuongea uonekane una points. ila kuna tatizo sana kwa watanzania la kumwona muongeaji kama mtu anyejua.

Bado unaendelea kunichanganya hapa, umeandika kuwa unahitaji kuongea sana ili uonekane una points, well hapa una maanisha kuwa unahitaji kuongea lolote lile hata kama ni uongo ili uonekane una points au unajua mambo.

Ninaamini sio wana-Tanzania wote wanaomwona anayeongea sana kuwa ndiye anayejua. Je wewe ni katika hao wanaoona kuwa wanaoongea sana ndio wenye points na wajuvi wa mambo ?
 
Originally Posted by mwanjelwa

mama ebu soma tena kwa makini maelezo yangu.
 
tatizo ni makambi yaliyojitokeza (yanayoaminika kuwepo) ndani ya ccm kwa ajili 2010. hivyo kila chaguzi ya jumuiya inatumiwa na kambi zote ili kujiweka sawa kwa ajili ya 2010.
binafsi naamini tutasikia na kushuhudia mengi tuu kabla ya 2010.
 
Back
Top Bottom