Waziri Tabia Mwita Akiwa Bungeni Jijini Dodoma

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

WAZIRI TABIA MWITA AKIWA BUNGENI JIJINI DODOMA

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita akiwa Bungeni Jijini Dodoma Juni 27, 2023 kufuatilia shughuli za muhimili huo, kwa mwaliko wa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita akiwa katika Picha ya Pamoja na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana Bungeni Jijini Dodoma Juni 27, 2023 alipofika kufuatilia shughuli za muhimili huo, kwa mwaliko wa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana.
 
Attachments

  • FzoP6N6XwAMA6Hh.jpg
    FzoP6N6XwAMA6Hh.jpg
    140.8 KB · Views: 4
  • FzoP6N0WAAIwCaf.jpg
    FzoP6N0WAAIwCaf.jpg
    123.1 KB · Views: 6
  • FzoRpMfX0AIzsAq.jpg
    FzoRpMfX0AIzsAq.jpg
    64.6 KB · Views: 6

WAZIRI TABIA MWITA AKIWA BUNGENI JIJINI DODOMA

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita akiwa Bungeni Jijini Dodoma Juni 27, 2023 kufuatilia shughuli za muhimili huo, kwa mwaliko wa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita akiwa katika Picha ya Pamoja na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana Bungeni Jijini Dodoma Juni 27, 2023 alipofika kufuatilia shughuli za muhimili huo, kwa mwaliko wa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana.
 
Attachments

  • IMG_20230130_120801.jpg
    IMG_20230130_120801.jpg
    26.1 KB · Views: 2
Zanzibar kuna wakurya siku hizi?
Hahaha! Watu hudhani ukiitwa Juma wewe ni mtu wa pwani na sasa Mwita limekuwa mali ya Wakurya. Waswahili tunasema JINa SI MBOJE na Wazungu wa Uingereza wao huuliza kabisa WHAT IS A NAME? Kazi kwenu.
,
 
Kule Zanzibar majina ya MWITA yapo "kibwena"....

Maana ya jina hilo ni "MAKINI"....

Wazanzibari ni wabantu....wabantu majina yanafanana.....

Makunduchi anakotokea mh.Rais wetu Chifu mkuu SSH kumejaa waliokuwa wanaitwa "wahadimu" kutokea huku kwetu bara!!

UDUMU MUUNGANO WETU [emoji120]

MWENYE KUUTAKA KUUVUNJA AVUNJIKE YEYE KIUNO amen[emoji120]
 
Hahaha! Watu hudhani ukiitwa Juma wewe ni mtu wa pwani na sasa Mwita limekuwa mali ya Wakurya. Waswahili tunasema JINa SI MBOJE na Wazungu wa Uingereza wao huuliza kabisa WHAT IS A NAME? Kazi kwenu.
,
Kwa ujinga wanadhani ukiitwa JUMA basi ni mtu wa imani fulani [emoji1787][emoji1787]

Kule Kenya Kuna akina Juma wengi wasio wa imani hiyo [emoji1787][emoji1787]
 
Mh.Tabia Mwita ni "kamarada" haswaaa....[emoji123]

Anakipenda chama chake kutoka moyoni....yuko tayari kukifia hichi chama bora kuliko vyote afrika [emoji120]

Huyu ni mzalendo wa kukata na shoka...muungano ndiyo ngao yake.....

IDUMU JMT[emoji120]
 
WAZIRI TABIA MWITA AKIWA BUNGENI JIJINI DODOMA

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita akiwa Bungeni Jijini Dodoma Juni 27, 2023 kufuatilia shughuli za muhimili huo, kwa mwaliko wa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita akiwa katika Picha ya Pamoja na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana Bungeni Jijini Dodoma Juni 27, 2023 alipofika kufuatilia shughuli za muhimili huo, kwa mwaliko wa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana.
[emoji2956][emoji2956]
 
Anakipenda chama chake kutoka moyoni....yuko tayari kukifia hichi chama bora kuliko vyote afrika
Mmh! Ni mfia chama kuliko Kingunge Ngombare Mwiru (RIP), Sumaye, Lowasa na Dr. Slaa ?

Mtoeni kwenye ulaji ili muone rangi yake halisi.
 
Watu hawautaki Muungano haswa huku bara! KWANINI HAJAITA WAZIRI WA MICHEZO KENYA ambayo huchangia michango Afrika Mashariki wakati Wazazibar wanabebwa tuu na hawchangii kitu? Wakati Zanzibar wana wabunge 2 hii jumuia hawacjangii pesa yoyote kwenye hii jumuia?
 
Sijui nimeoatwa na nn siku hizi? Nauchukia sana muungano.
 
Mmh! Ni mfia chama kuliko Kingunge Ngombare Mwiru (RIP), Sumaye, Lowasa na Dr. Slaa ?

Mtoeni kwenye ulaji ili muone rangi yake halisi.
Kwani wafia chama ni hao watatu tu ?!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787]
 
Watu hawautaki Muungano haswa huku bara! KWANINI HAJAITA WAZIRI WA MICHEZO KENYA ambayo huchangia michango Afrika Mashariki wakati Wazazibar wanabebwa tuu na hawchangii kitu? Wakati Zanzibar wana wabunge 2 hii jumuia hawacjangii pesa yoyote kwenye hii jumuia?
Wasioutaka muungano ni wangapi ?!!!

Mkuu tuwekee idadi yao hapa ili tuzidi kujifunza.....
 
Back
Top Bottom