polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
tusipeleke mambo kienyeji na kuharibu mifumo iliyo kuwepo itatugharibu baadae kuirudisha pale itakapo bainika inaharibu utaratibu
waziri TAMISEMI nikuombe sana mifumo ya shule iliyopo ilisha tengenezwa, siasa zisifanye tuanze kuivuruga tena
sare za shule zina umuhimu sana kwa usalama wa mwanafunzi na kumdhibiti kuwa na mizunguko isiyo faa si jambo jema kuruhusu wanafunzi kuto vaa sare katika hali hii, mnawadekeza sana watanzania hawa kwa sababu za kisiasa hali inayo pelekea wawe wazembe kupita kiasi katika mambo mengi
kwa namna hii uliyo anza kuna wakati hao wazazi watasema hatuna hela za madaftari na peni kitu ambacho nadhan mtasema waende tu bila madaftari
Nashauri tupunguze siasa kwenye elimu tuache mifumo iliyo kwisha kuwepo isimamiwe tusirahisishe kila jambo kutafuta kuungwa mkono kisiasa kuna mengine yanafaida kisiasa ila yana hasara kijamii
Mapokeo ya hili hayato kuwa kama wewe waziri ulivyo waza kwa mimi nanaewajua wanafunzi na natabia zao na pia wazazi na tabia zao hii itakuwa sababu kuu na mabinti wataishia kwenye ma guest na magheto ya wahuni , sare ya shule ina punguza sana mwanya huo lifikirie upya kuna mengine ni kuyaacha tu utaratibu uzingatiwe maana hizo nguo za nyumbani kwa wanafunzi sijui ni za aina gani maana wengine wana visuruali tu na wengine vimin na vitop au mabega wazi hii ina kiwa na muongozo gani maana ukimkataa mtoto aliye kija na nguo hiyo isiyo sare lakini haina maadili bado kwa mzazi aliye zoea mavaz hayo na kuyaona ya kawaida kwakwe itakuaa nongwa, tusiingize siasa kwa kila jambo swala la sare za shule lisirahisishwe kisiasa maaa siasa zilizo ingizwa kwenye elimu had sasa zitoshe tu.