adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Poor pafomenci...namshauri😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Did ikishatumika tu, basi main verb Kama iyo understand inabakia ivyo ivyo.Home boy hakuna sababu ya kutumia hizi lugha za mataifa, lakini fanyia marekebisho hizi sentensi zako mbili.
"when the speaker and receiver understands each other".(kuna makosa hapa,fanya iwe hivi:when speaker and receiver understand each other.(ukishakuwa na compound subject always verb inakuwa ya umoja)).
"Did the Chinese Contractor understood the minister's message?"(kosa jingine hapa,ushakuwa na auxiliary Do katika past form mategemeo yetu ni kwamba main verb itakuwa kwenye base form,kwahiyo hiyo "understood" ni kosa lingine tu lakutumia lugha za watu bila sababu ya msingi)
Mkuu,Kama alishindwa kujisimamia kielimu ili ajifunze kiingereza fasaha atawezaje kusimamia public mega project?
Mbona limeongea kizuri tu kwa size Tanzania aiseee! Wewe cha kwako kiko wapi?
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali zungumza na Waandishi wa habari na waombe tu wasirushe zilr clips za Waziri wetu akizungumza kiingereza.
Kwa kifupi tu Waziri wetu kaharibu mbaya. Ile clip ikienda viral ni aibu sana 😅. Kile kiingereza kitatuaibisha sana kama Taifa. Ni broken isiyovumilika.
Mwisho jamani nafasi za Uwaziri ni kubwa sana. Hawa ni watu wanao negotiate deals kwa faida ya nchi. Wanaosimama kwenye international platforms kuwakilisha nchi. Jamaniii tuteue watu wenye uwezo hata wa kuzungumza hizi lugha kubwa za kigeni kama kiingereza kwa ufasaha.
Poleni Tanzania. Ni aibu
Hmm really? Mbona amefanya makosa mengi tu ya kisarufi hapo….Binafsi naona kaongea vizuri, labda na mimi ndio walewale.
Tutofautishe grammatical errors na accent, grammar yake haikuwa mbaya, tena yupo vizuri kuliko wengi wetu. Accent yake ni ya kiafrika, au tunataka aongee kama muingereza?
Limeongea vizuri bwana tena pronounciation ya lenyewe iko vizuri tu 'we can not allow that!"Mkuu,
Huoni kwamba kwa Kiingereza chake hichohicho cha manati, Waziri Ulega ameibua issues muhimu kabisa katika Project Management, issues kama za timeline, mpaka issues za diplomasia ya kimataifa ya urafiki wa Tanzania na China ambao kampuni hii inatishia kuuharibu?
Hujaona Waziri Ulega anafanya kitu muhimu kabisa katika Project Management kinaitwa MBWA, Management By Walking Around, anapitia hiyi sehemu kuangalia kama wanafanya kazi mpaka weekend na anaona hawafanyi kazi?
Na ingawa Kiingereza si kizuri sana, kajieleza kuhusu issue hizi na zimeeleweka?
Mkuu,
Huoni kwamba watu wana focus kwenye Kiingereza tu wakati Waziri Ulega ame raise mambo muhimu sana mpaka yanayohusu traffic jams za Dar, na watu hawaongelei haya mambo muhimu, ambayo kabda yameelezwa kwa Kiingereza cha manati, lakini yameelezwa, watu wanaishia kujadili Kiingereza tu?
Mbona mkuu wa mkoa alimsifia kuwa yuko fit sana?
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali zungumza na Waandishi wa habari na waombe tu wasirushe zilr clips za Waziri wetu akizungumza kiingereza.
Kwa kifupi tu Waziri wetu kaharibu mbaya. Ile clip ikienda viral ni aibu sana 😅. Kile kiingereza kitatuaibisha sana kama Taifa. Ni broken isiyovumilika.
Mwisho jamani nafasi za Uwaziri ni kubwa sana. Hawa ni watu wanao negotiate deals kwa faida ya nchi. Wanaosimama kwenye international platforms kuwakilisha nchi. Jamaniii tuteue watu wenye uwezo hata wa kuzungumza hizi lugha kubwa za kigeni kama kiingereza kwa ufasaha.
Poleni Tanzania. Ni aibu
Inaweza isiwe advanced au proficient, ila ikawa intermediate au upper intermediate mkuu!! Kwa level ya Tanzania na watanzania mimi naona hayupo mbali sana.Hmm really? Mbona amefanya makosa mengi tu ya kisarufi hapo….
Na siyo kakosea kwenye sarufi tu. Hadi syntax katenda makosa kadhaa.
Aibu kwel kwelda nimesikiliza na mie nikaungana kuona aibu
Sio tu Did bali forms zote za auxiliary verb DO(do,does,did) zikisimama na main verb kwenye sentensi zinabaki katika base form au umbo lake la dictionary ukipenda wengine waziita simple verbsDid ikishatumika tu, basi main verb Kama iyo understand inabakia ivyo ivyo.
Nakumbuka mwalimu wangu wa English primary mlimani primary school alisema kuwa Kuna walimu wanamkaririsha mwanafunzi kuwa ukiona yesterday basi go inakuwa went.
Sasa Kuna aina tatu za Sentesi , question, affirmative and negative Sentences.
Wewe kweli Zumbukuku wa mwisho usiyejielewa ushawah kumsikia Putin, Xi jinping au Rais wa Iran wakiongea kingereza...Acha utumwa wa Akili Bro.
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali zungumza na Waandishi wa habari na waombe tu wasirushe zilr clips za Waziri wetu akizungumza kiingereza.
Kwa kifupi tu Waziri wetu kaharibu mbaya. Ile clip ikienda viral ni aibu sana 😅. Kile kiingereza kitatuaibisha sana kama Taifa. Ni broken isiyovumilika.
Mwisho jamani nafasi za Uwaziri ni kubwa sana. Hawa ni watu wanao negotiate deals kwa faida ya nchi. Wanaosimama kwenye international platforms kuwakilisha nchi. Jamaniii tuteue watu wenye uwezo hata wa kuzungumza hizi lugha kubwa za kigeni kama kiingereza kwa ufasaha.
Poleni Tanzania. Ni aibu
Mbona kiingereza chake siyo kibaya...tatizo watz na wakenya mnataka mtu aongee kiingereza kama native speaker...hicho kitu hakipo. Cha misingi ni ujumbe kufika na mawasiliano yafanyike..
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali zungumza na Waandishi wa habari na waombe tu wasirushe zilr clips za Waziri wetu akizungumza kiingereza.
Kwa kifupi tu Waziri wetu kaharibu mbaya. Ile clip ikienda viral ni aibu sana 😅. Kile kiingereza kitatuaibisha sana kama Taifa. Ni broken isiyovumilika.
Mwisho jamani nafasi za Uwaziri ni kubwa sana. Hawa ni watu wanao negotiate deals kwa faida ya nchi. Wanaosimama kwenye international platforms kuwakilisha nchi. Jamaniii tuteue watu wenye uwezo hata wa kuzungumza hizi lugha kubwa za kigeni kama kiingereza kwa ufasaha.
Poleni Tanzania. Ni aibu
Kwa viwango vya Watanzania waliosoma mpaka elimu ya chuo, hayuko vizuri, licha ya kwamba mtu unaweza kuelewa alichokuwa anakimaanisha.Inaweza isiwe advanced au proficient, ila ikawa intermediate au upper intermediate mkuu!! Kwa level ya Tanzania na watanzania mimi naona hayupo mbali sana.
Sawa mkuu, wewe umeshatoka kwenye lugha.Limeongea vizuri bwana tena pronunciation ya lenyewe iko vizuri tu 'we can not allow that!"
Mkuu,Umemtetea na Kumkosoa Kwa Wakati Mmoja ...Msimamo Wako Ni Upi Uko Upande Gani?Kiingereza cha Waziri, katika nchi ambayo Kiingereza ni lugha rasmi, si kizuri, huwezi kukitetea.
Na pengine kama hujazoea Kiingereza kizuri, huwezi kuona mapungufu.
So, from the outset Ulega kakosea, aliyemteua Ulega kakosea. Hilo kwangu halina mjadala. Waziri anatakiwa kujua Kiingereza. Akisafiri nje ataongea Kiswahili? Hata kama atatafsiriwa, kama Kiingereza chake cha matata, ataweza kusoma na kuelewa mambo ya nje ya Tanzania? Kutokujua Kiingereza, hata kama kuna watafsiri, kunapunguza efficiency ya mawasiliano.
Hiki Kiingereza angeongea Waziri wa DR Congo, ningeweza kumtetea kuwa nchi yao hawaongei Kiingereza. Lakini kwa nchi ambayo Kiingereza ni lugha rasmi, Kiingereza hiki si kizuri, lakini pia si Kiingereza fulani ambacho hakieleweki Waziri anasema nini.
Sasa hapo tunapaswa kujiuliza swali.
Of course in the perfect world tunatakiwa kuwa na Waziri anayejua Kiingereza vizuri na anayewabana anaotakiwa kuwabana kwa Kiingereza kilichonyooka kabisa.
Lakini je, ukiwa na Waziri kama Ulega mwenye Kiingereza cha kuvuta kwa manati, ungependa afanye nini? Asifanye kazi yake ya kuwabana anaotaka kuwabana mpaka aweze kuongea Kiingereza cha Mfalme Charles kwa lafudhi ya Received Pronunciation ya James Naughtie wa BBC?
Labda vijana wa sasa hamjui habari ya Bunge la Tanzania kuanza kukubali Kiswahili ilianzaje.
Mbunge wa Kinondoni ( nafikiri Kinondoni), Bibi Titi Mohammed, alikuwa bungeni akitaka kuwakilisha watu wake vizuri, akitaka kudai umeme upelekwe Magomeni watu wa Magomeni wafaidi kuwa na taa za umeme.
Lakini Bibi Titi Mohammed, ingawa alikuwa na ari kubwa sana ya kuwasikisha hoja yake hii bungeni, hakuwa msomi, hakujua sana Kiingereza.
Bobi Titi Mohammed akawa na uamuzi mgumu sana. Je, asimame na kudai anachotaka kudai kwa Kiingerwza ambacjo hakijui vizuri na anaweza kuboronga maneno akachekwa na watu? Au akae kimya na kuogopa kuharibu Kiingereza, lakini kwa kukaa kimya hivyo, aiachie nafasi ya kupigania haki za wananchi waliomtuma bungeni?
Bibi Titi Mohammed akaamua kusimama na kuongea kwa Kiingereza hicho hicho cha manati alichokijua.
Hapo ndipo aliposimama na kutoa hotuba iliyopata umaarufu ya "fire in the bottle". Akisema kwamba "We want fire in Magomeni...We want fire in small bottles".
Watu wajawa hawaelewi, anamaanisha nini kwa kusema "We want fire in small the bottles"?
Wakaja kugundua kuwa alikuwa anadai umeme ili watu wa Magomeni wapate taa za umeme, "fire in small bottles" ni zike taa za umeme.
Sasa hapo utamcheka Bibi Titi kuwa alikuwa hajui Kiingereza? Au utamsifia kuwa huyu alikuwa shujaa wa kupigania maslahi ya wananchi waliomtuma, hata pale ambapo hakujua Kiingereza vizuri, alisimama hivyohivyo ili nradi kawakikisha watu wake tu?
Serikali ililiona hili tatizo. Watu wetu wwngi hawajui Kiingerwza, kwa nini tunalazimisha bunge liwe ka Kiingereza?
Wakabadilisha mfumo wakaruhusu wabunge kuongea Kiswahili.
Ulega kaharibu lugha. Hapo siwezi kumtetea.
Vipi kuhusu substance?
Kuna watu wamezungumzia substance ya alichoongea Ulega?
Au tumeishia kucheka lugha tu?
Kile cha Ndalichako ni kiboko ukizingatia alikuwa waziri wa elimu.Ndalichako yule sijui alipata je udakitari PhD, wote na mwendazake kiingereza kinawasumbua na Zelensky wa Ukurain anawaxidi wakati hakusoma kiingereza
Verb to beauxiliary verb DO(do,does,did)
Mkuu,Umemtetea na Kumkosoa Kwa Wakati Mmoja ...Msimamo Wako Ni Upi Uko Upande Gani?
Kwani wao wakiwasiliana kwa kingereza huwa wanapata tabu kama Ulega!!?Mkuu uchina urusi wajerumani wafaransa wareno mbona wana lugha zao na maisha yanaenda so hawaingiagi miktaba ,yaani mmekuwa brainwashed Ile mbaya
Mlimani ya Mndolwa!!??Did ikishatumika tu, basi main verb Kama iyo understand inabakia ivyo ivyo.