Waziri Ummy amewataka NIMR Kuwa na Mashamba kiła Halmashauri watakayotumia kuotesha Miti dawa

Waziri Ummy amewataka NIMR Kuwa na Mashamba kiła Halmashauri watakayotumia kuotesha Miti dawa

Biz TV

New Member
Joined
May 14, 2022
Posts
2
Reaction score
0
Waziri Ummy amewataka NIMR Kuwa na Mashamba kiła Halmashauri watakayotumia kuotesha Miti Dawa. "Nimewapa maelekezo NIMR, Nataka kuona Mashamba ya miti Dawa nchi nzima, kwa kuangalia upatikanaji wa hizo dawa. Kwasababu hizi dawa zimetusaidia na zimetutibu" Alisema Waziri Ummy.

Aidha Waziri Ummy amewataka NIMR kufanya utafiti kama Stafeli ni tiba ya Saratani. "Tunasikia Habari mtaani kwamba Stafeli linatibu Saratani, Kwahiyo sasa ni NIMR Waingie kazini watupe utafiti Je kweli Stafeli linatibu Saratani au halitibu Saratani"
 
Back
Top Bottom