BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Yote kayataka LE STONE hayaTatizo ni kubwa kuliko hata ajira zenyewe, boresheni sekta binafsi wau wajiajiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote kayataka LE STONE hayaTatizo ni kubwa kuliko hata ajira zenyewe, boresheni sekta binafsi wau wajiajiri
Ndiyo maana naye kadondokaYote kayataka LE STONE haya
Hiyo ya kujitolea kuna wengine hawawezi, coz maisha hayakidhi yeye kujitolea, waangalie upya hili suala la ajira ktk kuondoa kero kwa waombaji.Tamko limeshatolewa. Wa kujitolea watapewa kipaumbele. Hii ishu ya GPA kubwa ina walakini. Wengine wana GPA kubwa kwa kupitia njia isiyo rasmi ya kuwafurahisha Wakufunzi wao.
[emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahWatu wengi wanachapia ety "survival for the fittest" correct statement is "survival of the fittest" na bahati nzuri nipo tamisemi hapa hapa ntaanza na ww kukukata[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji56][emoji28]
Kuitafuta 3.9 mkwawa ni kuitafuta pepoMimi si Mwalimu,lakini nashauri wasiangalie GPA. Wakitaka kuangalia hilo basi itawapasa waanalie na ranking ya vyuo.
Kuna vyuo kupata GPA ya 3.9 siyo issue kubwa ila kuna vyuo kupata tu hiyo 3.0 ni shangwe.
Hahahaha wewe 47 mimi sio Mwalimu bhana.Hapo kwenye survival kweli nimechapia kiuandishi.Watu wengi wanachapia ety "survival for the fittest" correct statement is "survival of the fittest" na bahati nzuri nipo tamisemi hapa hapa ntaanza na ww kukukata[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji56][emoji28]
kaka Ajira hazizwezi kutolewa kwa kufanya ubaguzi wa hivo vigezo ulivyoweka, aliyekidhi vigezo vilivyowekwa kwa kiasi kikubwa kuliko wengine anapaswa kupata bila kuangaliaa jinsia yake, dini , hali yake ya kiuchumi n.k.Ninashauri, walioomba na wakakosa ni vema wakajibiwa kwamba wamekosa na wakapewa sababu za kukosa, waliopata vile vile wajibiwe kuwa wamepata na sababu za kupata kuliko ukimya uliopo, unafanya mamilioni ya watafuta kazi kulalamika mitaani.
Pili, mfumo huo uangalie gender pia, kuna uwezekano kuajiriwa gender moja tu. Kwa ujumla mfumo wa ajira uangalie mikoa, wilaya, dini, umri, ufaulu, wenye mikopo, yatima, uwezo wa kifamilia, masomo yenye manufaa kwa sasa, ulemavu, uraia, nk.
Habari ya kuajiriwa waliojitolea tu sio nzuri kabisa. Yani ajira hakuna halafu mtu uende ukajitolee badala ya kutafuta njia nyingine mbadala ya kutoka kama kujiajiri na kwenda kujitolea nje ya fani yako. Kama hao 89,000 wote wangejitolea je wangetosha kwenye vituo? Serikali wawe na kigezo bora cha kuajiri na sio chenye upendeleo au ubaguzi wa aina hii. Hii sio fair kabisa.
Ni moja ya wachumi bora duniani yule mzee au habari zake huna?Lipumba GPA 4.5 lakini kichwani hakuna kitu mkuu, achana na GPA
Zote ni sahihi asikubabaishe.Hahahaha wewe 47 mimi sio Mwalimu bhana.Hapo kwenye survival kweli nimechapia kiuandishi.
Mbona wenzio walipataKuitafuta 3.9 mkwawa ni kuitafuta pepo
Na hafanyi unachotaka tuone sasaWaziri ummy mimi nakushauri waagize wakurugenzi,maafisa elimu au wakuu wawilaya wapitie shule zote katika halmashauri zao utapata waalimu sahihi wanaojitolea,maana itakua niuonevu mtu aliejitolea akose na yule ambaye hajajitolea apate. Ushauri mwingine akangalia wale waliokaa mtaani kwa mda mrefu alafu wamejitolew mfano kuna waalimu waliomaliza 2015 wengi ni art diploma na degree hawa hawajaajiriwa wape kipaombele
Kama wako mitaani naHawajishughulishi na ufugaji wowote watambulike na wasipate kabisa ajira kwani wamesha onesha kua hawana taaluma hiyo hivyo hawatakua na ushauli wowote katika nausea ya mifugoMaafisa mifugo wako wengi tu mtaani, jobless.
Hawatakua na tija katika sekta ya mifugoKama wako mitaani naHawajishughulishi na ufugaji wowote watambulike na wasipate kabisa ajira kwani wamesha onesha kua hawana taaluma hiyo hivyo hawatakua na ushauli wowote katika nausea ya mifugo
wewe ndiye huelewi- duniani kuna internshipHuu ujinga ni Tanzania tu, kwa sheria ipi? Ni lini serikali iliwataka wahitimu wakajitolee na malazi na posho ya kujikimu nani aligharamia? Huu upumbavu utengenezeni tu ipo siku mtafurushwa kwa maandamano na riots.