Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuondoa utata basi waajiri kwa kigezo cha GPA, aliyepata kubwa ndiyo aanze mpaka cut off itakapoishia maana hapo hakuna atakayelalamika kuwa ameonewa.
Kwenye GPA mie nakazia.Vigezo vifuatavyo vitasaidia kuondoa malumbano ambavyo ni;
1. Waliokaa muda mrefu bila ajira mfano aliyemaliza 2015 apewe kwanza kabla ya alomaliza 2019 maana hata kukaa mtaani tu uzoefu.
2. Ufaulu wa GPA waweke benchmark ya 3.8
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema yapo malalamiko kuwa baadhi ya Walimu wanaojitolea wanawasilisha barua feki zinazosema wanafanya hivyo wakati hawajitolei.
Ametoa kauli hiyo leo Mei 25, 2021 Bungeni Dodoma wakati akimjibu Mbunge wa Longido Kiruswa aliyehoji ni kwanini Seikali isiajiri Walimu ambao wanajitolea. Amesema hata Wanaojitolea watafanyiwa uchambuzi ili kuona kama ni kweli wanafanya hivyo.
Amesema kigezo kikubwa kitakachotumika ni hicho akiongeza kuwa, suala hilo ni tete ambapo nafasi ni 6,949 ilihali mpaka Mei 23, 2021 walioomba ni 89,958. Ameomba Serikali iaminiwe akisisitiza Haki itatendeka.
========
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu akibu swali la mbunge Kiruswa lililouliza 'Kwanini wasiajiri walimu ambao wanajitolea?' kwenye ajira za ualimu zilizotangazwa karibuni, amesema kigezo kikubwa ambacho watakitumia katika kuangalia wenye vigezo ni wale ambao wanajitolea.
Waziri Ummy amesema kwa sasa ipo changamoto kwa wengine kuleta bara feki kwamba wanajitolea na suala hilo ni tete kwani nafasi zipo 6,949 lakini walioomba wameshafika 89,958 na kumuomba spika aiamini serikali itatenda haki.
Amesema pia upo mtazamo ndani ya wazira labda waajiri ambao wamemaliza muda mrefu lakini hawajaajiriwa akitolea mfano waliomaliza 2012 kwani muda wao wa kuajiriwa serikalini nao unapungua ambapo wanatakiwa kuajiriwa kabla ya kufikisha umri wa miaka 45.

Kuna kitu kinaitwa standards na ndio maana ukisema upper second inaeleweka ni 3.5 and above vilevile ipo tume ya vyuo vikuu Tanzania.GPA ya Zion na GPA ya DUCE je zinafanana? Kuwa na GPA kubwa sio kigezo cha uwezo kazini.
Inafahamika kwamba ukifaulu vizuri unajiweka sehemu nzuri zaidi.Kuna Criteria za kuweka ila ziwe Liqudity kujitolea, Mwaka wa kumaliza, Masomo ila sio GPA hiyo mtu awezi nyumburika ukiweka Cut Off maanayake kuna watu wanakosa sifa milele ni vyema ungewaambia hilo wakiwa wajaanza shule kabisa.
Ni yule mkurungwaNi yule jamaa tu wa jf alitu sn*tch
Mimi si Mwalimu,lakini nashauri wasiangalie GPA. Wakitaka kuangalia hilo basi itawapasa waanalie na ranking ya vyuo.Kuna kitu kinaitwa standards na ndio maana ukisema upper second inaeleweka ni 3.5 and above vilevile ipo tume ya vyuo vikuu Tanzania.
Yes wakiangalia GPA pia waangalie na vipaumbele vya Vyuo ubaya ubaya tu vyuo kamaMimi si Mwalimu,lakini nashauri wasiangalie GPA. Wakitaka kuangalia hilo basi itawapasa waanalie na ranking ya vyuo.
Kuna vyuo kupata GPA ya 3.9 siyo issue kubwa ila kuna vyuo kupata tu hiyo 3.0 ni shangwe.
Kigezo kizuri ni hiki cha kujitolea. Badala ya hicho cha GPA kubwa za kwenye makaratasi! halafu mkikabidhiwa darasa kufundisha, mnaishia tu kujikanyaga na kujimwambafai! Huku content ikiwa ni 0!Kuondoa utata basi waajiri kwa kigezo cha GPA, aliyepata kubwa ndiyo aanze mpaka cut off itakapoishia maana hapo hakuna atakayelalamika kuwa ameonewa.
Tamko limeshatolewa. Wa kujitolea watapewa kipaumbele. Hii ishu ya GPA kubwa ina walakini. Wengine wana GPA kubwa kwa kupitia njia isiyo rasmi ya kuwafurahisha Wakufunzi wao.Huwa nawaza hivi na mie, kuepusha lawama na migogoro.
Ni Shule za wapi hizo zilizokataa walimu wa kujitolea? Mbona walimu wengi walipokelewa?Swala la kujitolea si sababu ya kumwajiri mtumishi, kwani shule nyingi zilikuwa zinakataa hata kupokea walimu wa kujitolea!! Na waliokubali walikuwa wamepokea walimu wenye udugu na ama waliopo au anafahamika kwa namna fulani.!!!!
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema yapo malalamiko kuwa baadhi ya Walimu wanaojitolea wanawasilisha barua feki zinazosema wanafanya hivyo wakati hawajitolei.
Ametoa kauli hiyo leo Mei 25, 2021 Bungeni Dodoma wakati akimjibu Mbunge wa Longido Kiruswa aliyehoji ni kwanini Seikali isiajiri Walimu ambao wanajitolea. Amesema hata Wanaojitolea watafanyiwa uchambuzi ili kuona kama ni kweli wanafanya hivyo.
Amesema kigezo kikubwa kitakachotumika ni hicho akiongeza kuwa, suala hilo ni tete ambapo nafasi ni 6,949 ilihali mpaka Mei 23, 2021 walioomba ni 89,958. Ameomba Serikali iaminiwe akisisitiza Haki itatendeka.
========
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu akibu swali la mbunge Kiruswa lililouliza 'Kwanini wasiajiri walimu ambao wanajitolea?' kwenye ajira za ualimu zilizotangazwa karibuni, amesema kigezo kikubwa ambacho watakitumia katika kuangalia wenye vigezo ni wale ambao wanajitolea.
Waziri Ummy amesema kwa sasa ipo changamoto kwa wengine kuleta bara feki kwamba wanajitolea na suala hilo ni tete kwani nafasi zipo 6,949 lakini walioomba wameshafika 89,958 na kumuomba spika aiamini serikali itatenda haki.
Amesema pia upo mtazamo ndani ya wazira labda waajiri ambao wamemaliza muda mrefu lakini hawajaajiriwa akitolea mfano waliomaliza 2012 kwani muda wao wa kuajiriwa serikalini nao unapungua ambapo wanatakiwa kuajiriwa kabla ya kufikisha umri wa miaka 45.
Wewe ni mwalimuNi Shule za wapi hizo zilizokataa walimu wa kujitolea? Mbona walimu wengi walipokelewa?
Mimi ndie mwathirika wa hilo na nathibitisha kutokupokelewa kwenye shule zaidi ya tano! sababu zao ni hawana nafasi ila kwa mbali waliopo humo ndani ukikutana nao, wanadai eti wakuu wanaogopa "system"Ni Shule za wapi hizo zilizokataa walimu wa kujitolea? Mbona walimu wengi walipokelewa?