Waziri Ummy kufanya mabadiliko kwa Watendaji wa Mamlaka za Serikali

Waziri Ummy kufanya mabadiliko kwa Watendaji wa Mamlaka za Serikali

Hilo tatizo ni kubwa sana! Mtu ana miaka kumi hajapanda daraja, lkn wamepandisha madaraja lkn mtu huyo ana panda daraja moja tu na anakuja kulingana na mtu aliyepanda miaka mitano iliyopita! Ni kama uonevu au serikali hawajui wawasaidie vipi......wahanga wa tatizo hilo wapo! Inakatisha tamaa sana
Hivi mwl alikuwa hajapandishwa daraja kwa miaka takribani 10, anapopandishwa kwa nini asivushwe lile alilokosa akapata sawa na wenzake, pia inakuwaje mel kaajiriwa 1999 akawa na daraja G na wa 1990 akawa F, hii inatokana na nini? Na hao wote wamejiendeleza kufikia degree
 
Back
Top Bottom