Hivi mwl alikuwa hajapandishwa daraja kwa miaka takribani 10, anapopandishwa kwa nini asivushwe lile alilokosa akapata sawa na wenzake, pia inakuwaje mel kaajiriwa 1999 akawa na daraja G na wa 1990 akawa F, hii inatokana na nini? Na hao wote wamejiendeleza kufikia degree