Tetesi: Waziri Ummy Mwalimu amepokea ripoti ya ukaguzi wa maabara ya taifa kimya kimya!

Na ripoti ya uchunguzi vipi akiiteka mtekaji.?
 
Kwani TBCCM wameishiwa charge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walitaka kuona report ikisema vipimo vya corona ni bomu lakini nimesikia mkurugenzi wa CDC Afrika akisema vipimo vipo sawa kabisa. Hivyo hakuna kujijitea na mapapai kuwa positive hizo ni siasa chafu za Africaa.
 
Leo hii mchana alikuwepo Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamara haya huko dodoma amekwenda saa ngapi ebu tuwache kupicha habari hata kama tunatumiwa tusiwe wajinga kiasi hicho mkuu
 
Kwanini aliweka order ile hadharani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hiyo report imewadhihirisha kuwa we have a big problem at the top! Yaani jabir Hamza kamdhalilisha mtu huko! Imagine kupeleka oil maabara! Yaani just imagine mtu anayepeleka oil maabara in the middle of pandemic!
 

Ndio ujinga wa taifa hili. Analaumu jambo fulani, kuondoa watu kazini. Kisha inaundwa timu kuchunguza na jambo hilo linafanyika. Kisha inakuwa kimya baada ya hapo.

Tujifunze kutoka kwa wenzetu - responsible citizens huuliza maswali na hutaka majibu. Viongozi huendesha nchi ya raia, sio yao. Hiyo ndio kuwajibika kwa raia. Ni tofauti ni falme ambapo mfalme hahijiwi na raia!!!

Kwa kupitia mawazo kama yako - tunaweza kuona bado tuko mbali sana!! Sana!!
 
Aisee !!! Kwakweli hiyo ripoti tunaisubiri kwa hamu sana Nina Elizabeth langu lipo kwenye friji naogopa kulila mpaka nipate ripoti kamili ya ukaguzi wa maabara yetu ...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo hii mchana alikuwepo Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamara haya huko dodoma amekwenda saa ngapi ebu tuwache kupicha habari hata kama tunatumiwa tusiwe wajinga kiasi hicho mkuu

kwani dar hadi dom kwa ndege ni siku ngapi, endapo kama mtu akiamua kuwa sehem zote mbili kwa siku hiyohiyo mmoja?
 
Atuoneshe Basi mapungufu ya national lab ,ili tuliopo maabara za kikanda na mkoa tufanye marekebisho,,

California love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…