Tetesi: Waziri Ummy Mwalimu amepokea ripoti ya ukaguzi wa maabara ya taifa kimya kimya!

Naona leo waziri wetu wa afya ambaye hatumuelewi siku hizi, bi Ummy Mwalimu amepokea ripoti ya ukaguzi wa maabara kimya kimya.

Chanzo changu cha kuaminika kinadokeza kuwa waziri wetu amepewa ripoti hiyo leo mchana mjini Dodoma.

Itabidi tufuatilie hali ya mbuzi wetu hukooo6
Ina maoni tofauti na yale yaliyosababisha uchunguzi... Kama matokeo yangefanana ingeandaliwa press conference

Jr[emoji769]
 
Ulitaka umsindikize kwenye kupokea ripoti? Subiri utaelezwa kilichoandikwa kwenye ripoti. Isitoshe aliyetoa order ya kufanywa uchunguzi ndiye anapaswa kupewa ripoti na Ummy Mwalimu. Mwenye kutoa order halazimishwi kwa vyovyote vile kuiweka ripoti hadharani.
Kulikuwa na haja gani ya kutoa order ya kufanya uchunguzi hadharani? Ilikuwa atoe order kimya kimya otherwise tutajuwa test kits hazina matatizo mwenye matatizo ni yeye.
 
Leo hii mchana alikuwepo Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamara haya huko dodoma amekwenda saa ngapi ebu tuwache kupicha habari hata kama tunatumiwa tusiwe wajinga kiasi hicho mkuu
Umeona akina G Sam walivyo wazushi!
 
Ulitaka umsindikize kwenye kupokea ripoti? Subiri utaelezwa kilichoandikwa kwenye ripoti. Isitoshe aliyetoa order ya kufanywa uchunguzi ndiye anapaswa kupewa ripoti na Ummy Mwalimu. Mwenye kutoa order halazimishwi kwa vyovyote vile kuiweka ripoti hadharani.
Akili hizi..!! Acha tu
 
Kulikuwa na haja gani ya kutoa order ya kufanya uchunguzi hadharani? Ilikuwa atoe order kimya kimya otherwise tutajuwa test kits hazina matatizo mwenye matatizo ni yeye.
Above all, sample zetu si ndo zinakwenda pale..! Angekuwa anapeleka sample yake peke yake, ingekiwa sawa..!! Sasa kwa vile za kwetu ndo zinapelekwa kule, atuambie kupoje ili tujue ukweli wa mahibu yatolewayo..

KIONGOZI KUNA WENGINE WA KUWAACHA TU... Mtu mpaka unajiuliza..HIVI NI KWELI WOTE TUMEUMBWA KWA MFANO WA MUNGU..?? Maana wengine kwa post zao inahizi labsa wameumbwa kwa mfano wa mafenesi au mapapai
 
Leo hii mchana alikuwepo Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamara haya huko dodoma amekwenda saa ngapi ebu tuwache kupicha habari hata kama tunatumiwa tusiwe wajinga kiasi hicho mkuu
Dodoma kuna uwanja wa ndege na ndege zetu zinatua huko nani safari ya chini ya saa 1.

The good, the bad and the ugly.
 
Lengo lilikuwa kusitisha takwimu ya walioambukizwa na waliokufa. Lengo lao limetimia, hatutakaa kamwe tujue takwimu sahihi za maambukizi na vifo vya corona Tanzania.

Hii wanaweza kusitisha kwetu lakini dunia inataka takwimu, lazima watazitoa tu hata kama ni za kupika. Hawana jinsi bila takwimu dunia haiwezi kutuona kama comrade wao kwenye hii fight na tutasuffer consequences
 
Naona leo waziri wetu wa afya ambaye hatumuelewi siku hizi, bi Ummy Mwalimu amepokea ripoti ya ukaguzi wa maabara kimya kimya.

Chanzo changu cha kuaminika kinadokeza kuwa waziri wetu amepewa ripoti hiyo leo mchana mjini Dodoma.

Itabidi tufuatilie hali ya mbuzi wetu hukooo6
Natamani kujua majibu yaliyomo. Haujanusa nusa ?
 
Ripoti ni muhimu ili kuendeleza mjadala wa udhaifu wa vipimo duniani ikiwemo kuwakamata kihoja wanaohujumu nchi yetu kiafya>> CDC, Jack ma ,Ethiopia and so on
 
Naona leo waziri wetu wa afya ambaye hatumuelewi siku hizi, bi Ummy Mwalimu amepokea ripoti ya ukaguzi wa maabara kimya kimya.

Chanzo changu cha kuaminika kinadokeza kuwa waziri wetu amepewa ripoti hiyo leo mchana mjini Dodoma.

Itabidi tufuatilie hali ya mbuzi wetu hukooo6
Nahisi hiyi ripoti inamuumbua raisi na specimen zake za mapapai na mbuzi!

Unapeleka mwanasiasa kukusanya specimen halafu unajiona umeshinda, kumbe hao waliokusanya wame contaminate specimen kwa kuwa walikuwa na corona virus?

Na kama papai likikuwa ikulu basi tuwe na wasiwasi katika watu wa ikulu kuna aliye na corona!

Inawezekana wote waliotumwa kuchukua specimen za mapapai na mbuzi wako hoi hospitali na corona!
 
Usitengeneze mazingira ya UZUSHI hayana tija kwa Taifa.

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Kwani Bi Ummy Mwalimu ni Waziri wa Afya au Msemaji wa wiazara ya Afya? Waziri wa Afya yupo na atatolea uamuzi report hiyo baada ya kuunda tume nyingine ya kuichunguza hii Tume ya kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kupokea report umeleta habari ya chini ya kapeti kwamba amepokea, haya itakuaje kujua kilichoandikwa mkuu.
 
Mtajijua wenyw

Back
Top Bottom