Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema serikali haijatoa taarifa za mwenendo wa ugonjwa wa Covid-19 nchini kwa wiki moja sasa kutokana na uwepo wa zoezi la uhakiki wa maabara ya taifa na uhakiki huo utakapokamilika, taarifa zitaendelea kutolewa.
AzamTV
Kwa hiyo wanaficha vifo vya korona na kusema ni vya homa na matatizo ya kupumua, au siyo?
Huyu mama akina ndasa wanamuangalia tu huko waliko!Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema serikali haijatoa taarifa za mwenendo wa ugonjwa wa Covid-19 nchini kwa wiki moja sasa kutokana na uwepo wa zoezi la uhakiki wa maabara ya taifa na uhakiki huo utakapokamilika, taarifa zitaendelea kutolewa.
AzamTV
Huyu mama akina ndasa wanamuangalia tu huko waliko!
Dada huyu sasa!Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema serikali haijatoa taarifa za mwenendo wa ugonjwa wa Covid-19 nchini kwa wiki moja sasa kutokana na uwepo wa zoezi la uhakiki wa maabara ya taifa na uhakiki huo utakapokamilika, taarifa zitaendelea kutolewa.
AzamTV
Ushauri wa mwigulu!
Inawezekana wamepeleka sample zao Mombasa.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ila mambo ya kudanganya watu wazima kama watoto ni aibu sana huwa naona mimi,
Ummy siku ile kasema hawatangazi kwa sababu hakuna maambukizi mapya na siku hiyo hiyo PM kaja na mkeka ulioshiba wa 196.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwandishi wa habari mwenye uwezo wa kuuliza, Jiulize kwa nini Zanzibar wametoa taarifa wakati bado wanatumia maabara hii hii ambayo inafanyiwa uchunguzi ?
Ni Tanzania bara & Tanzania visiwani.
U communist ni sheedaWaziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema serikali haijatoa taarifa za mwenendo wa ugonjwa wa Covid-19 nchini kwa wiki moja sasa kutokana na uwepo wa zoezi la uhakiki wa maabara ya taifa na uhakiki huo utakapokamilika, taarifa zitaendelea kutolewa.
AzamTV
Fikiria mnawasimamisha kazi watu kwa hoja nyepesi inahuzunisha sana, hivyo vifaa kama mnaona avifai mnavyo vingine? Vifaa vya kupimia sampuli toka kwa binadamu mnaleta mawe,kokoto, si kutafuta ukorofi uko? Kwani mna matatizo gani, warudisheni watu kazini toeni taarifa, tabia yakupoteza muda kwa kujifanya mnahakiki inaturudisha nyuma sana, imeathiri malipo ya korosho, kuajiri, kupandisha watu madaraja n.k.Katikati ya vita, unamsimamisha kazi kamanda mkuu wa jeshi - unamwambia akae chini na mwingine achukue injini. .. wakati wote huo wa kufanya hii restructuring je adui yako atakuachia nafasi ujipange kwanza ili ukiwa tayari muanze vita tena?
Tanzania VS Covid -19
Dk ni ya 30 ya mchezo, Tanzania kashafanya Sub mbili, CoVID bado kakomaa... wacha tuone.
(Stay Home)
Positive Tanganyika ni nyingi hadi wanatilia shaka machine.Hakuna mwandishi wa habari mwenye uwezo wa kuuliza, Jiulize kwa nini Zanzibar wametoa taarifa wakati bado wanatumia maabara hii hii ambayo inafanyiwa uchunguzi ?
Mkuu nijuavyo Mimi ni kuwa,Ni Tanzania bara & Tanzania visiwani.
Hakuna nchi inaitwa Tanganyika na hakuna nchi inaitwa Zanzibar.
Ni Tanzania bara & Tanzania visiwani.
Hakuna nchi inaitwa Tanganyika na hakuna nchi inaitwa Zanzibar.