Cutemam
Member
- May 2, 2020
- 90
- 149
Kumbuka huwa hawafanyi mdahalo maana sio kama hao waandiahi wa habari walipata nafasi ya kuuliza na wakauliza maswali mengine wakaacha ya msingi.Kaka kwani sikuhizi kuna waandishi wa habari au wachumia tumbo...Press zoote hasa za serikali huwa ni vituko saana siku hizi. Kwa mfano hapo angeulizwa swali rahisi kuwa je kwa Serikali kutotoa majibu ya watu walokwishapima mpaka sasa haoni kuwa wanachangia maambukizi zaidi tena kwa kasi mtaani manake, mtu kama ameenda kupima akaambiwa aende tu nyumbani asubiri majibu (zaidi ya wiki sasa) nini matarajio yao"? Swali la pili hizi mashine zimekuwa "imported" na kuhakikiwa na WHO kabla hazijaanza kutumiwa katika nchi zoote .Haina shaka kwamba sisi uwezo wa wataalamu wetu unaishia katika kupima na kutoa majibu kama walivyovufundshwa sasa je kwa zoezi linaloendelea sasa je wanawashirikisiha WHO au ni zoezi gani linaloendelea tusilolifahamu?!. Nafahamu vyombo vingi vya habari vimewekwa mfukoni awamu hii lakini hata wale wachache waliobaki wenye akili mbona hatuoni mnauliza mswali yanayoeleweka?
Kama hupewi nafasi ya kuuliza maswali basi automatic hiyo habari unaachana nayo wala huitoi kabisa....vinginevyo hujitambui au unatumiwa...Kumbuka huwa hawafanyi mdahalo maana sio kama hao waandiahi wa habari walipata nafasi ya kuuliza na wakauliza maswali mengine wakaacha ya msingi.
Uhakiki upi tena. Kwani before kabla maabara haijaanza kupima haukufanyika uhakiki ?Waandishi kwa nini hamjamuuliza ?
Mbona wazanzibari mwanzo walikuwa wanapima bara kabla ya kupata mashine yao? Kwa nini nao bara wasipeleke sample zao zikapimwe huko wakati maabara yao inaendelea kuchunguzwa!Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema sababu ya kutotangaza mwenendo wa ugonjwa wa Corona ni kutokana na maboresho yanayofanyika kwenye Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, ambapo kuna marekebisho yanafanyika na ndani ya siku chache marekebisho yatakamilika na watatoa taarifa
Waziri Ummy ameeleza hayo leo wakati akizindua mfumo wa mawasiliano wa huduma kwa wateja katika Wizara hiyo ambapo amesema itasaidia wananchi kupata taarifa sahihi kwa haraka zaidi.
Aidha Waziri Ummy amesisitiza kuwa vifo vinavyotokana na Corona vipo na kesi za maambukizi zipo, hivyo wananchi wanatakiwa waendelee kuchukua tahadhari ili kuepuka kuambukizwa huku akiwataka kufuata taarifa sahihi na kuacha kujawa na hofu.
Hata hivyo tuko hivyo mkuu
Waandishi Hawa watu ndio waulize !!!!Uhakiki upi tena. Kwani before kabla maabara haijaanza kupima haukufanyika uhakiki ?Waandishi kwa nini hamjamuuliza ?
Waansdishi wenyew ndugu siuna waona walivyo ,full kukopi hata majina ya viongozi wa nje yanawashindaga kutamka,wapo wapo tu , bora waripoti , Maisha yaenda ila kuuliza maswali ya msingi ,awaulizi kabsa ,wanaenda kurikod nakutuma headquarter basiUmewaza kama mimi miongoni mwa watu nawadharau huku bongo ni hao wanaopenda kujiita waandishi wa habari
yaani wao kazi yao ni kuripoti tu hakuna na wakiuliza maswali yakipuuzi yaani shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa ya IMF na WB inawindwa kwa nguvu zote.......!!Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema sababu ya kutotangaza mwenendo wa ugonjwa wa Corona ni kutokana na maboresho yanayofanyika kwenye Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, ambapo kuna marekebisho yanafanyika na ndani ya siku chache marekebisho yatakamilika na watatoa taarifa
Waziri Ummy ameeleza hayo leo wakati akizindua mfumo wa mawasiliano wa huduma kwa wateja katika Wizara hiyo ambapo amesema itasaidia wananchi kupata taarifa sahihi kwa haraka zaidi.
Aidha Waziri Ummy amesisitiza kuwa vifo vinavyotokana na Corona vipo na kesi za maambukizi zipo, hivyo wananchi wanatakiwa waendelee kuchukua tahadhari ili kuepuka kuambukizwa huku akiwataka kufuata taarifa sahihi na kuacha kujawa na hofu.
Yupo Sahihi Kabisa Waziri wetu 👏👏👏 Kuendelea kuwakumbusha watanzania kuwa Makini.Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema sababu ya kutotangaza mwenendo wa ugonjwa wa Corona ni kutokana na maboresho yanayofanyika kwenye Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, ambapo kuna marekebisho yanafanyika na ndani ya siku chache marekebisho yatakamilika na watatoa taarifa
Waziri Ummy ameeleza hayo leo wakati akizindua mfumo wa mawasiliano wa huduma kwa wateja katika Wizara hiyo ambapo amesema itasaidia wananchi kupata taarifa sahihi kwa haraka zaidi.
Aidha Waziri Ummy amesisitiza kuwa vifo vinavyotokana na Corona vipo na kesi za maambukizi zipo, hivyo wananchi wanatakiwa waendelee kuchukua tahadhari ili kuepuka kuambukizwa huku akiwataka kufuata taarifa sahihi na kuacha kujawa na hofu.
Ndege wa aina moja,huruka pamoja.Umeifanya JF kuwa ya CCM na CHADEMA, siyo? NCCR, CUF na tusio na vyama twende wapi sasa?Hili jukwaa la Watanzania. Siyo la vyama.
Hao jamaa wanakera sema baasi tu, utafikir mtu akija kukoment anakuja na benderaUmeifanya JF kuwa ya CCM na CHADEMA, siyo? NCCR, CUF na tusio na vyama twende wapi sasa?Hili jukwaa la Watanzania. Siyo la vyama.
Baada mkuu kutilia mashaka Maabara ya taifa sampuli zote zimerudiwa na kwa vile zanzibar ni mamlaka nyingine wao wanaendelea na hakuna wa kuwaingilia, na kama sijakosea ile machine upelekwa kwa kila nchi mwanachama wa WHO na kama ina matatizo wa kulaumiwa ni WHOTanzania kuna mashine moja tu yenye uwezo kupima sampuli ya virusi vya Corona, ajabu ni kwamba Zanzibar wameendelea kutoa takwimu za maambukizi wakati Tanganyika wao wamesimamisha mchakato wa kutoa takwimu kwa maelezo ya kufanyia maboresho ya taarifa za matokeo ya upimaji wakati mashine inayotumika kwa Tanganyika na Zanzibar ni hiyo hiyo moja!
Huo ushujaa wa kuuliza swali gumu unautoa wapi wakati ulishasogezewa bahashaWaansdishi wenyew ndugu siuna waona walivyo ,full kukopi hata majina ya viongozi wa nje yanawashindaga kutamka,wapo wapo tu , bora waripoti , Maisha yaenda ila kuuliza maswali ya msingi ,awaulizi kabsa ,wanaenda kurikod nakutuma headquarter basi
Sent using Jamii Forums mobile app