Uhakiki upi tena. Kwani before kabla maabara haijaanza kupima haukufanyika uhakiki ?Waandishi kwa nini hamjamuuliza ?
Perepeche, Hata mishahara haipandi tunafanya UHAKIKI.Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema serikali haijatoa taarifa za mwenendo wa ugonjwa wa COVID-19 nchini kwa wiki moja sasa kutokana na uwepo wa zoezi la uhakiki wa Maabara ya Taifa na uhakiki huo utakapokamilika, taarifa zitaendelea kutolewa.
AzamTV
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema serikali haijatoa taarifa za mwenendo wa ugonjwa wa COVID-19 nchini kwa wiki moja sasa kutokana na uwepo wa zoezi la uhakiki wa Maabara ya Taifa na uhakiki huo utakapokamilika, taarifa zitaendelea kutolewa.
AzamTV
Hamkutakiwa kuongoza nchi katika era hii ya information, mlitakiwa kuongoza wakati wa Kinjekitile, not now.Kwanza hizo taarifa za idadi ya wafu na wenye corona zinasaidia nini?
Wagonjwa 20, kesho wagonjwa 50, kesho kutwa wagonjwa 100... SO WHAT?
Watu wameshaelekezwa kuchukua tahadhari. Hiyo inatosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawawezi wakiitwa so huwa wanapewa posho ya 60000 kila mmoja ukizingua hupewiHakuna mwandishi wa habari mwenye uwezo wa kuuliza, Jiulize kwa nini Zanzibar wametoa taarifa wakati bado wanatumia maabara hii hii ambayo inafanyiwa uchunguzi ?
Endelea kusikia. Lakini wahakiki walipewa hadi trh 13 mwezi huu wakabidhi ripoti. Shida ufipa ni hadi mdude chadema aseme ndio huwa mnaelewaNasikia uhakiki wa maabara utaendelea kwa muda mrefu kama ilivyokuwa uhakiki wa wafanyakazi hewa.
Hii swaga inafanana na ile ya watumishi kwamba wapo kwenye uhakiki mpk leo 2020. Sometime tujifunze kupotezea tu vitu vingine vitatuchosha tu akili
Endelea kusikia. Lakini wahakiki walipewa hadi trh 13 mwezi huu wakabidhi ripoti. Shida ufipa ni hadi mdude chadema aseme ndio huwa mnaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app