Raja Casablanca
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 706
- 368
Well said and well writtenKatikati ya vita, unamsimamisha kazi kamanda mkuu wa jeshi - unamwambia akae chini na mwingine achukue injini. .. wakati wote huo wa kufanya hii restructuring je adui yako atakuachia nafasi ujipange kwanza ili ukiwa tayari muanze vita tena?
Tanzania VS Covid -19
Dk ni ya 30 ya mchezo, Tanzania kashafanya Sub mbili, CoVID bado kakomaa... wacha tuone.
(Stay Home)
Chakula ya mwenyekiti imeongeaWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema sababu ya kutotangaza mwenendo wa ugonjwa wa Corona ni kutokana na maboresho yanayofanyika kwenye Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, ambapo kuna marekebisho yanafanyika na ndani ya siku chache marekebisho yatakamilika na watatoa taarifa
Waziri Ummy ameeleza hayo leo wakati akizindua mfumo wa mawasiliano wa huduma kwa wateja katika Wizara hiyo ambapo amesema itasaidia wananchi kupata taarifa sahihi kwa haraka zaidi.
Aidha Waziri Ummy amesisitiza kuwa vifo vinavyotokana na Corona vipo na kesi za maambukizi zipo, hivyo wananchi wanatakiwa waendelee kuchukua tahadhari ili kuepuka kuambukizwa huku akiwataka kufuata taarifa sahihi na kuacha kujawa na hofu.
Tanzania kuna mashine moja tu yenye uwezo kupima sampuli ya virusi vya Corona, ajabu ni kwamba Zanzibar wameendelea kutoa takwimu za maambukizi wakati Tanganyika wao wamesimamisha mchakato wa kutoa takwimu kwa maelezo ya kufanyia maboresho ya taarifa za matokeo ya upimaji wakati mashine inayotumika kwa Tanganyika na Zanzibar ni hiyo hiyo moja!Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema sababu ya kutotangaza mwenendo wa ugonjwa wa Corona ni kutokana na maboresho yanayofanyika kwenye Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, ambapo kuna marekebisho yanafanyika na ndani ya siku chache marekebisho yatakamilika na watatoa taarifa
Waziri Ummy ameeleza hayo leo wakati akizindua mfumo wa mawasiliano wa huduma kwa wateja katika Wizara hiyo ambapo amesema itasaidia wananchi kupata taarifa sahihi kwa haraka zaidi.
Aidha Waziri Ummy amesisitiza kuwa vifo vinavyotokana na Corona vipo na kesi za maambukizi zipo, hivyo wananchi wanatakiwa waendelee kuchukua tahadhari ili kuepuka kuambukizwa huku akiwataka kufuata taarifa sahihi na kuacha kujawa na hofu.
Zile zilikuwa za uongo yakhe
ni mamlaka mbili tofauti ndio maana kule mwenye mamlaka ya kutangaza ni waziri wao na sio ummy.Hakuna mwandishi wa habari mwenye uwezo wa kuuliza, Jiulize kwa nini Zanzibar wametoa taarifa wakati bado wanatumia maabara hii hii ambayo inafanyiwa uchunguzi ?
Pascal Mayalla kesho kaulize pia kama bahasha za khaki hazishushi weledi wa waandishi wa habari!!Hawawezi wakiitwa so huwa wanapewa posho ya 60000 kila mmoja ukizingua hupewi
Kwani sample za Zanzibar zina pimiwa wapi? /Si hapo hapo? / Mbona Dr Shein ana kubali zitangazwe?Wana roho ngumu sana. Uswahilini huwa tunawaita mumiani!
Zinasaidia ku monitor mwenendo wa maambukizi ili serikal ijue wapi pa kutilia mkazo.Kwanza hizo taarifa za idadi ya wafu na wenye corona zinasaidia nini?
Wagonjwa 20, kesho wagonjwa 50, kesho kutwa wagonjwa 100... SO WHAT?
Watu wameshaelekezwa kuchukua tahadhari. Hiyo inatosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nzuri hii,na Jambo la kushukuru mungu dawa inakuja na pipa RAI yangu kwa wananchi tunywe dawa kwa mwitikio wa nguvu!!!!VIVA MAGUFULI .Leo naiyona COVI19 kuondoka Tanzania . BAVICHA ENDELENI KUSHUPAZA SHINGO ZENU ZITAKATIKA VIPANDEVIPANDEWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema sababu ya kutotangaza mwenendo wa ugonjwa wa Corona ni kutokana na maboresho yanayofanyika kwenye Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, ambapo kuna marekebisho yanafanyika na ndani ya siku chache marekebisho yatakamilika na watatoa taarifa
Waziri Ummy ameeleza hayo leo wakati akizindua mfumo wa mawasiliano wa huduma kwa wateja katika Wizara hiyo ambapo amesema itasaidia wananchi kupata taarifa sahihi kwa haraka zaidi.
Aidha Waziri Ummy amesisitiza kuwa vifo vinavyotokana na Corona vipo na kesi za maambukizi zipo, hivyo wananchi wanatakiwa waendelee kuchukua tahadhari ili kuepuka kuambukizwa huku akiwataka kufuata taarifa sahihi na kuacha kujawa na hofu.
Nitaulizia hili!.Pascal Mayalla kesho kaulize pia kama bahasha za khaki hazishushi weledi wa waandishi wa habari!!
Kaka kwani sikuhizi kuna waandishi wa habari au wachumia tumbo...Press zoote hasa za serikali huwa ni vituko saana siku hizi. Kwa mfano hapo angeulizwa swali rahisi kuwa je kwa Serikali kutotoa majibu ya watu walokwishapima mpaka sasa haoni kuwa wanachangia maambukizi zaidi tena kwa kasi mtaani manake, mtu kama ameenda kupima akaambiwa aende tu nyumbani asubiri majibu (zaidi ya wiki sasa) nini matarajio yao"? Swali la pili hizi mashine zimekuwa "imported" na kuhakikiwa na WHO kabla hazijaanza kutumiwa katika nchi zoote .Haina shaka kwamba sisi uwezo wa wataalamu wetu unaishia katika kupima na kutoa majibu kama walivyovufundshwa sasa je kwa zoezi linaloendelea sasa je wanawashirikisiha WHO au ni zoezi gani linaloendelea tusilolifahamu?!. Nafahamu vyombo vingi vya habari vimewekwa mfukoni awamu hii lakini hata wale wachache waliobaki wenye akili mbona hatuoni mnauliza mswali yanayoeleweka?Uhakiki upi tena. Kwani before kabla maabara haijaanza kupima haukufanyika uhakiki ?Waandishi kwa nini hamjamuuliza ?