Waziri Ummy: Serikali haitoi taarifa za COVID-19 kutokana na zoezi la uhakiki wa maabara ya Taifa

Kumbuka huwa hawafanyi mdahalo maana sio kama hao waandiahi wa habari walipata nafasi ya kuuliza na wakauliza maswali mengine wakaacha ya msingi.
 
Kumbuka huwa hawafanyi mdahalo maana sio kama hao waandiahi wa habari walipata nafasi ya kuuliza na wakauliza maswali mengine wakaacha ya msingi.
Kama hupewi nafasi ya kuuliza maswali basi automatic hiyo habari unaachana nayo wala huitoi kabisa....vinginevyo hujitambui au unatumiwa...
 
Uhakiki upi tena. Kwani before kabla maabara haijaanza kupima haukufanyika uhakiki ?Waandishi kwa nini hamjamuuliza ?

Dada! Amakuru? Zingatia hii sentensi β€œmaambukizi yapo na vifo vipo”. Maana yake ni kuwa zile tests tulizoambiwa ni mbovu matokeo yake yanaaminika!! Maboresho yanapaswa kuja na test kits mpya zilizo bora, la sivo sarakasi zote za fenesi na oil ilikuwa ni propaganda tu.
 
Mbona wazanzibari mwanzo walikuwa wanapima bara kabla ya kupata mashine yao? Kwa nini nao bara wasipeleke sample zao zikapimwe huko wakati maabara yao inaendelea kuchunguzwa!
 
Ficheni data tuone munamkomoa Nani , axheni siasa kwnye uhai wa watu
 
Umewaza kama mimi miongoni mwa watu nawadharau huku bongo ni hao wanaopenda kujiita waandishi wa habari
yaani wao kazi yao ni kuripoti tu hakuna na wakiuliza maswali yakipuuzi yaani shida

Sent using Jamii Forums mobile app
Waansdishi wenyew ndugu siuna waona walivyo ,full kukopi hata majina ya viongozi wa nje yanawashindaga kutamka,wapo wapo tu , bora waripoti , Maisha yaenda ila kuuliza maswali ya msingi ,awaulizi kabsa ,wanaenda kurikod nakutuma headquarter basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ummy Mwalim, katika hali kama hii bora ungejiuzulu kuliko kufuata maagizo ya mwehu. Ummy my friend, can you mimic a lunatic?
 
Pesa ya IMF na WB inawindwa kwa nguvu zote.......!!
 
Yupo Sahihi Kabisa Waziri wetu πŸ‘πŸ‘πŸ‘ Kuendelea kuwakumbusha watanzania kuwa Makini.
 
Umeifanya JF kuwa ya CCM na CHADEMA, siyo? NCCR, CUF na tusio na vyama twende wapi sasa?Hili jukwaa la Watanzania. Siyo la vyama.
Hao jamaa wanakera sema baasi tu, utafikir mtu akija kukoment anakuja na bendera
 
Baada mkuu kutilia mashaka Maabara ya taifa sampuli zote zimerudiwa na kwa vile zanzibar ni mamlaka nyingine wao wanaendelea na hakuna wa kuwaingilia, na kama sijakosea ile machine upelekwa kwa kila nchi mwanachama wa WHO na kama ina matatizo wa kulaumiwa ni WHO
 
Huo ushujaa wa kuuliza swali gumu unautoa wapi wakati ulishasogezewa bahasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…