Kwa kushirikiana na waziri wa elimu waziri Ummy Mwalimu aliagiza shule zote zifungwe na wanafunzi wote warudi nyumbani, wapumzike.
Lakini kumekuwa na ubishi wa kimyakimya na baadhi ya shuke tayari zimeshatoa agizo kwa wanafunzi hao warudi baada ya wiki moja tu.
Hii ni dharau kana kwamba shule hizo ndizo sheria. Kisingizio ni kilekile kwamba wanaobaki ni miaka ya mitihani.
Waziri shikilieni msimamo uleule shule zenye uvivu wa kumsliza syllabus kwa wakati tusuziendekeze. Ni bora zife au zifungiwe.