Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
UTI wawili hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UTI wawili hawa
Wasimsingizie hata leo karejea kauli yake .." Ni bora kiongozi ufanye maamuzi hata ukikosea....kuliko kutochukua hatua...."Mwenyekiti Yuko DAR kwenye joto kukimbia vichina
Minazani watu awafi ndo maana watu wamepotezea barakoa watu wangekuwa wanakufa asinge ambiwa mtu vaa barakoa....Kila mmoja wetu achukue tahadhari za kujilinda yeye na wenzake, bado nashangaa huko barabarani na kwenye vyombo vya usafiri bado idadi ya wasiovaa barakoa ni kubwa mno, sijui wabongo tuna tatizo gani kwenye bongo zetu?...
Kila mmoja wetu achukue tahadhari za kujilinda yeye na wenzake, bado nashangaa huko barabarani na kwenye vyombo vya usafiri bado idadi ya wasiovaa barakoa ni kubwa mno, sijui wabongo tuna tatizo gani kwenye bongo zetu?
Waziri wa Afya mwenyewe na bosi wake sijawahi kuwaona wamevaa barakoa, sasa kwa mwendo huu sijui huu ugonjwa hapa kwetu utaondoka lini, bado tunakabiliana nao kinadharia zaidi ya vitendo, tunaongea sana.
Wamejawa na unafiki mtupu.Yaani maelezo yooooooooote haya ni kutamka tu kuna Corona watu wachukue tahadhari. Kwani angesema tu kuna corona watu wachukue tahadhari angepatwa na nini...
Mitano tenaWatu wana mafua makali, wanakohoa sana siku3 4 5 wanapona.
Wengine wanapata shida ya upumuaji yaani mambo mengimengi tuu sana.