Waziri wa Afya itoe ufafanuzi kuhusu dawa za ARV, TB na Malaria zitakavyopatikana baada ya USAID/PEPFAR kujitoa

Waziri wa Afya itoe ufafanuzi kuhusu dawa za ARV, TB na Malaria zitakavyopatikana baada ya USAID/PEPFAR kujitoa

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
Huenda Mwalimu anafikiria jimbo lake 2025!

Lakini anapaswa ajitokeze kulisemea ili kuwapa matumaini waathirika!
 
1. Utaratibu wa kutoa taarifa kwa Jambo linalohusu wananchi NI Jambo muhimu katika utawala Bora. USAID kajitoa kufadhili Miradi ya UKIMWI/TB na malaria. Watu wetu wataishije? Nini mpango wa Serikali?

2. Ni wakati sasa wa kujitegemea katika kuhudumia wananchi wa Tanzania kuliko kutegemea kila kitu wafadhili, tubane matumizi kwa ustawi wa wananchi.
kufa kwaja
 
Kumbe ukimwi unaua,
Kumbe mnaogopa kufa,
Mlikua mnadanganyana ngoma sio mwisho wa maisha.
😁😁😹
Utasikia ikung’ute hiyo mpaka maji aite mma.

Haya sasa kiko wapi?
Hili hata lisipotekelezeka wakati huu, kuna siku litatekelezeka tu.

Tujipange.
 
Ina maana mpaka sasa serikali haijasikia na kusoma kuwa Tramp anasitisha misaada ya nchi yake? Ijitokeze kutoa ufafanuzi wananchi wenye changamoto ya maradhi yanayotegemea msaada wa dawa kutoka Marekani wataishije bila msaada huo toka kwa nchi ya Tramp.
 
Back
Top Bottom