Waziri wa Afya itoe ufafanuzi kuhusu dawa za ARV, TB na Malaria zitakavyopatikana baada ya USAID/PEPFAR kujitoa

Waziri wa Afya itoe ufafanuzi kuhusu dawa za ARV, TB na Malaria zitakavyopatikana baada ya USAID/PEPFAR kujitoa

1. Utaratibu wa kutoa taarifa kwa Jambo linalohusu wananchi NI Jambo muhimu katika utawala Bora. USAID kajitoa kufadhili Miradi ya UKIMWI/TB na malaria. Watu wetu wataishije? Nini mpango wa Serikali?

2. Ni wakati sasa wa kujitegemea katika kuhudumia wananchi wa Tanzania kuliko kutegemea kila kitu wafadhili, tubane matumizi kwa ustawi wa wananchi.
Labda anawasubiria machawa
 
Ni wakati wa kuacha zinaa na kumrudia Mungu kama ulisalimika huko nyuma,
Wapo lakini waliodai kuwa na dawa na wakapuuzwa kwa sababu tu ni ngozi nyeusi
Tusubir pengine neno litatoka
 
Kumbe ukimwi unaua,
Kumbe mnaogopa kufa,
Mlikua mnadanganyana ngoma sio mwisho wa maisha.
Acha hizo pigo kamanda kua na empathy, kuna watu waliupata bila hatia, so hoja ya jamaa ijibiwe ni ya msingi haya maswala mnachekelea unaweza kuta ndugu yako wa karibu anao we hujuii.
 
Ina maana mpaka sasa serikali haijasikia na kusoma kuwa Tramp anasitisha misaada ya nchi yake? Ijitokeze kutoa ufafanuzi wananchi wenye changamoto ya maradhi yanayotegemea msaada wa dawa kutoka Marekani wataishije bila msaada huo toka kwa nchi ya Tramp.
Serikali haendeshwi kwa kusikia bali kwa nyaraka
Washambembeleza mjomba kalegeza so tutaendelea kupata kwa kuombaomba

Washambembeleza mjomba kalegeza so tutaendelea kupata kwa kuombaomba tu
Ila kwa hili serikali inatakiwa ishtuke wasibweteke kuna siku bomu litaitika kweli.
 
Serikali haendeshwi kwa kusikia bali kwa nyaraka

Ila kwa hili serikali inatakiwa ishtuke wasibweteke kuna siku bomu litaitika kweli.

Hahaha serikali ya bongo ishtuke? Utakua hujui nchi yako Kiongozi anyway labda generation ijayo
 
Serikali haendeshwi kwa kusikia bali kwa nyaraka

Ila kwa hili serikali inatakiwa ishtuke wasibweteke kuna siku bomu litaitika kweli.
sawa, hizo nyaraka za marekani/USAID haijaona. kama haijaona huko ni kujikausha na kuzuga haini kitu
 
Saivi tunatakiwa tuwe makini zile zama za kujiachia zimeisha aisee, kufa kabla ya wakati siopoa.
Bahati mbaya sana we unaliona hilo lakini wenye mamlaka hawajali wanajua litapita tu kama mengine!
 
Back
Top Bottom