Kuna Doctor amenambia leo asubuhi mazoezini kuwa watu wamechukua dozi nyingi sana kuna uwezekano mwezi wa pili kusiwe na dawa mahospitalini!Saivi tunatakiwa tuwe makini zile zama za kujiachia zimeisha aisee, kufa kabla ya wakati siopoa.
Kusema kweli tuweni makini kila unapotaka kupiga miti think twice na uende na akili yako sawa sawa maana maambukizi yataongezeka sana