Waziri wa Afya itoe ufafanuzi kuhusu dawa za ARV, TB na Malaria zitakavyopatikana baada ya USAID/PEPFAR kujitoa

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
Huenda Mwalimu anafikiria jimbo lake 2025!

Lakini anapaswa ajitokeze kulisemea ili kuwapa matumaini waathirika!
 
kufa kwaja
 
Kumbe ukimwi unaua,
Kumbe mnaogopa kufa,
Mlikua mnadanganyana ngoma sio mwisho wa maisha.
😁😁😹
Utasikia ikung’ute hiyo mpaka maji aite mma.

Haya sasa kiko wapi?
Hili hata lisipotekelezeka wakati huu, kuna siku litatekelezeka tu.

Tujipange.
 
Ina maana mpaka sasa serikali haijasikia na kusoma kuwa Tramp anasitisha misaada ya nchi yake? Ijitokeze kutoa ufafanuzi wananchi wenye changamoto ya maradhi yanayotegemea msaada wa dawa kutoka Marekani wataishije bila msaada huo toka kwa nchi ya Tramp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…