Kuna Doctor amenambia leo asubuhi mazoezini kuwa watu wamechukua dozi nyingi sana kuna uwezekano mwezi wa pili kusiwe na dawa mahospitalini!Saivi tunatakiwa tuwe makini zile zama za kujiachia zimeisha aisee, kufa kabla ya wakati siopoa.
Hii issue ni munoma sana, kuna ndugu zetu walikufa kwa ngoma kila mikikumbuka hua nauheshimu huu ugonjwa, akili zinanikaa sawa nikifikiria ujinga.Kuna Doctor amenambia leo asubuhi mazoezini kuwa watu wamechukua dozi nyingi sana kuna uwezekano mwezi wa pili kusiwe na dawa mahospitalini!
Kusema kweli tuweni makini kila unapotaka kupiga miti think twice na uende na akili yako sawa sawa maana maambukizi yataongezeka sana
Wanakwambia UKIMWI ni bora kuliko mimba kumbe dawa yenyewe tunategemea wanaume USA walipe kodi ndo tupate!Hii issue ni munoma sana, kuna ndugu zetu walikufa kwa ngoma kila mikikumbuka hua nauheshimu huu ugonjwa, akili zinanikaa sawa nikifikiria ujinga.
Wapo buzy kulogana warudi bungeni season 2.Wanakwambia UKIMWI ni bora kuliko mimba kumbe dawa yenyewe tunategemea wanaume USA walipe kodi ndo tupate!
Na nchi zetu hizi na viongozi wake vichwa panzi kazi ipo sana!
Kenya jumatano wiki hii wamechukua hatua za kulikabiri hili jambo la shaba wa ARV!
Sie hata Waziri tu hana hata ABC za udaktari hana habari na kuna uwezekano tukajikuta nchi nzima haina dawa au kama zipo zikawa chini ya wajanja wachache na kupelekea uhaba na vifo vya kutisha!
Hatari itakuwa kubwa sana maana watadisturb supply chain ya dawa na lazima iadimike maana wajanja wachache watahodhi dawa!Wapo buzy kulogana warudi bungeni season 2.
Lakini nadhani haya makampuni ambayo yanatengeneza hizo dawa ambazo tunauziwa (indirectly) bado wanataka kutuuzia wapate faida kama awali.Hatari itakuwa kubwa sana maana watadisturb supply chain ya dawa na lazima iadimike maana wajanja wachache watahodhi dawa!
Itakuwa kama issue ya sukari na serkali yetu huwa inahangaika sana kuhandle issue kama hozi na issue ya ARV ni sensitive kwa maana inahusisha usiri kwa wagonjwa, kwa maana hiyo inahitaji watu makini wa kutatua changamoto za
Tuombe Mungu ipatikaze njia ya kulikabili hili ila maumivu yatakuwepo maana tayari liko kibiashara na linamasrahi makubwa ya kifedha!Lakini na
Lakini nadhani haya makampuni ambayo yanatengeneza hizo dawa ambazo tunauziwa (indirectly) bado wanataka kutuuzia wapate faida kama awali.
Arguments zangu mbili kubwa ni
1. Je serikali itakua radhi kuzinunua ili kuokoa jahazi kwa watu wa hali ya chini.? Na kwa sababu ya nature ya gharama ya hizo dawa tutakopeshwa kwa mikopo yenye interest kubwa sana kuturudhisha utumwani.
2. Je serikali ikisema dawa ziingie lakini ziuzwe kwa wananchi, will the majority afford hio medication?
Either way ngoma nzito hii na ni sensitive kweli kama usemavyo..
Yes sirTuombe Mungu ipatikaze njia ya kulikabili hili ila maumivu yatakuwepo maana tayari liko kibiashara na linamasrahi makubwa ya kifedha!
Unaweza kuonyesha kiumbe anaitwa serikali?serihali imepaniki
π€£π€£ Siku nilipoambiwa kuhuzuria hayo mafunzo na kiambiwa kiasi hicho nilijiaemea moyoni kuwa mwl tz ni aibuWako bize na mafunzo ya mtaala mpya kwa malipo ya elfu tatu.
Goli la mama ni 5mil sasa utachagua wewe ukacheze mpira au ukatufubdishie watt wetu
Mh! we itakuwa unaufahamu finyu sana!Unaweza kuonyesha kiumbe anaitwa serikali?
Ilitumuone alivo panik?
Wewe mwenyewe ndiyo serikali kama hujui sasa
Usifikir kuna mtu anaitwa serikali ndiyo amepanik
Ila wewe umenizidi plus upumbavu unao mwingiMh! we itakuwa unaufahamu finyu sana!
samaleko...π€£Ila wewe umenizidi plus upumbavu unao mwingi
Wazee wa fursa. Unaweza kutoboa hapa ukiamua kuchukua stock yako. πππMabilionea wapya wataongezeka kwa ulanguzi wa dawa
Kwann mkuu?Kama kweli amesitisha misaada ya dawa hizo basi kufikia 2026 kutakuwa na nafasi nyingi za kazi government na sekita binafis.