Fanya homework yako vizuriHabari zenu Wakubwa
Naomba kuulizia ID anayotumia Waziri wetu wa afya humu Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa nina jambo nataka kumshirikisha
Nilimsikia akidai kuna alimjibu mtu humu JF kuhusu kero zinazotokea kwenye sekta ya afya na huwa anapita sana humu kujibu jibu maoni na maswali ya watu mbalimbali
Anayeifahamu ID yake au ambaye alijibiwa na mheshimiwa aitag hapo chini au anitumie hata PM
Mm ni huyo kipara nipo na wewe bint kobaz, ukumbuk hii scene nilivokupelekea moto?Mkuu huyu si wewe mwenyewe, wewe sio Mchengerwa
😂😂😂😂Mm ni huyo kipara nipo na wewe bint kobaz, ukumbuk hii scene nilivokupelekea moto?
Huku ni kama dark Web hamna anayejulikana hivyo ni ngumu kujionyesha wewe weka ujumbe utamfikia.Habari zenu Wakubwa
Naomba kuulizia ID anayotumia Waziri wetu wa afya humu Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa nina jambo nataka kumshirikisha
Nilimsikia akidai kuna alimjibu mtu humu JF kuhusu kero zinazotokea kwenye sekta ya afya na huwa anapita sana humu kujibu jibu maoni na maswali ya watu mbalimbali
Anayeifahamu ID yake au ambaye alijibiwa na mheshimiwa aitag hapo chini au anitumie hata PM
Eti kiongozi,ukute hata Mama samia naye yuko humu anatoa kero zake. Shangaa JF weweDuh si ni kiongozi Mkubwa wa kiserikali kuna haja ya naye kujificha humu?
Ndio mkuu ni muhimu sana pengine ni wewe🤨Duh si ni kiongozi Mkubwa wa kiserikali kuna haja ya naye kujificha humu?
Sakata ganiWe mwalimu wa Ndanda una shida sio bure, tangu lile sakata lako litrend mpaka leo haujawahi kuheal
Mchengerwa ndio nani?Habari zenu Wakubwa